Siwa ya Bunge Maalum la Katiba yakataliwa! Ingeligharimu Taifa 500mil

Kama nchi ingekuwa inaongozwa na watu kama walio kwenye kamati hiyo tungekuwa mbali sana. Mambo ya kijinga jinga yangekuwa machache sana. Nimefurahia sana uamuzi huo nawapongeza na Mungu awabariki kwa kazi yao
 
Wakisha tengenez siwa.bunge la katiba likiisha wataipeleka wapi.ni lini itaundwa tena katiba mpya au ndo kusema mpaka miaka hamsin tena.kwa kwel ni dil ya kujioatia mpunga
 

Mkuu kwenye picha hiyo umenikumbusha viwanja vya maonesho ya saba saba vya Mwl J.K. Nyerere, kwenye banda la Bunge. Ila jamaa aliyekuwa ametoa wazo la kutengeneza Siwa ya dhahabu atakuwa na akili ambazo ziko kwenye makal.io!!! Pum.bavu sana!!!
 
Si vibaya kuwa na Siwa lkn napendekeza litengenezwe kwa pembe za ndovu kwa kumbukumbu ya marehemu tembo wetu. Hizo pembe tunazo ghalani na gharama ni za findi tu!! Baadaye liwe la bunge la Zanzibar na lingine bunge la Tanganyika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…