meck bashingwa
Member
- Sep 19, 2014
- 26
- 1
mwaka huu tcu wametoa selection kihuni waliodahiliwa kujiunga na elimu ya juu majina yao yametangazwa na vyuo walivyochaguliwa na huku wengi wakibaki na sintofahamu kwa kutoona majina yao.
Hapo hapo HESLB wameanza kijimchezo kama hicho hicho kuona mikopo kwene vyuo husika hebu waache uhuni kama wanatangaza majina watangaze wote wajue ili wadogo wetu wapunguze presha 20000 zetu wanazo na bado wanazingua hebu wawe waungwana