Siwaelewi HESLB na TCU mwaka huu wa masomo 2014/2015

Siwaelewi HESLB na TCU mwaka huu wa masomo 2014/2015

Joined
Sep 19, 2014
Posts
26
Reaction score
1
mwaka huu tcu wametoa selection kihuni waliodahiliwa kujiunga na elimu ya juu majina yao yametangazwa na vyuo walivyochaguliwa na huku wengi wakibaki na sintofahamu kwa kutoona majina yao.

Hapo hapo HESLB wameanza kijimchezo kama hicho hicho kuona mikopo kwene vyuo husika hebu waache uhuni kama wanatangaza majina watangaze wote wajue ili wadogo wetu wapunguze presha 20000 zetu wanazo na bado wanazingua hebu wawe waungwana
 
Uhuni..!
Yaani unamaanisha hao waheshimiwa walio maofisini huko nao pia ni wahuni ama nini.
 
kuweni waungwana mbona TCU walitoa majina yote labda sema wamechelewa kutoa na mkopo umepewa website ya kila chuo so huna haja ya kulalamika,
 
mkopo wamepata fm6 bas ushahid nao apa chuon kwang TIA na ata IFM napo ni ivo ivo
 
Na mimi imenishangaza sana mwaka huu kweli wadogo zetu wana tabu siki hizi. Unakuta mtu kachaguliwa chuo fulani kwenye chuo huoni jina lake.
 
Jamani matajiri na wadau binasfi nchini kutoka sekta binafsi nafikiri sasa ni wakati nao wakasaidia kutunisha mfuko wa HESLEB kwa maana sasa ni dhahiri kuwa serikali kama serikali imechemsha.
 
Jamani matajiri na wadau binasfi nchini kutoka sekta binafsi nafikiri sasa ni wakati nao wakasaidia kutunisha mfuko wa HESLEB kwa maana sasa ni dhahiri kuwa serikali kama serikali imechemsha.

Kwa huu ujinga unaoendelea HESLB . sioni haja ya wadau binafsi kuisaidia bodi hiyo.

Mie wamekula 1million+ niliyotakiwa nilipwe kama MA, kila nikienda kufuatilia napigwa tarehe.
 
heslb network yako iko slow sana wanefanya hivi kupunguza usumbufu kwa watu

Unaongea nini?. unakijua unachoongea?
Hebu nitofautishie kati ya network na system.
Kimsingi majina yametoka ki vyuo ili kurahisisha zoezi la wanafunzi kupata mikopo hiyo mapema . yaani watakapokuwa wakijisajili. pia watapeleka acc no zao ili waweze kuandaliwa malipo.

Jambo lililopo ni kuwa wanafunzi wengi wana papara ya mambo, chuo hakijafunguliwa, wala hakijaanza registration watu mshaanza kupanic. tulieni majina yashatumwa vyuoni kwenu kwa ma loan officer.
 
Ujuaji usio na maana
 
Back
Top Bottom