meck bashingwa
Member
- Sep 19, 2014
- 26
- 1
mkopo wamepata fm6 bas ushahid nao apa chuon kwang TIA na ata IFM napo ni ivo ivo
fom6 kivip,yaan fom6 leaver mwaka huu 2 au fom6 gan?
fom6 kivip,yaan fo m6 leaver mwaka huu 2 au fom6 gan?
Achen Kuwa Laumu! Tuombe Mungu Tu Watatukumbuka Na Wote Loan Tutapata!!
Jamani matajiri na wadau binasfi nchini kutoka sekta binafsi nafikiri sasa ni wakati nao wakasaidia kutunisha mfuko wa HESLEB kwa maana sasa ni dhahiri kuwa serikali kama serikali imechemsha.
heslb network yako iko slow sana wanefanya hivi kupunguza usumbufu kwa watu
MIMI CHUO CHANGU-MUST bado majina hayajatoka
me wameniboaaaa
Unaongea nini?. unakijua unachoongea?
Hebu nitofautishie kati ya network na system.
Kimsingi majina yametoka ki vyuo ili kurahisisha zoezi la wanafunzi kupata mikopo hiyo mapema . yaani watakapokuwa wakijisajili. pia watapeleka acc no zao ili waweze kuandaliwa malipo.
Jambo lililopo ni kuwa wanafunzi wengi wana papara ya mambo, chuo hakijafunguliwa, wala hakijaanza registration watu mshaanza kupanic. tulieni majina yashatumwa vyuoni kwenu kwa ma loan officer.