Siwaelewi Yanga katika uchaguaji wa kocha

Yule kocha wetu wa timu ya Taifa Mbrazil mbona alikuwa anazungumza kireno. Wakati wachezaji wetu wanazungumza Kiswahili/English
Timu ilikuwa inafanya vizuri
Punguza wenge Na ushabiki
 
Mkalimani siyupo tena mahili kabisa,yule aliyetafsiri kwenye kumuaga JPM Dodoma.
 
Yule kocha wetu wa timu ya Taifa Mbrazil mbona alikuwa anazungumza kireno. Wakati wachezaji wetu wanazungumza Kiswahili/English
Timu ilikuwa inafanya vizuri
Punguza wenge Na ushabiki
Ha gomez wa simba hajui kiswahili
 
Yule kocha wetu wa timu ya Taifa Mbrazil mbona alikuwa anazungumza kireno. Wakati wachezaji wetu wanazungumza Kiswahili/English
Timu ilikuwa inafanya vizuri
Punguza wenge Na ushabiki
Kocha alikua anongea English na Kireno.
 
Yule mzee wa Leeds united kingereza hakipandi na timu inacheza vizuri tu, Wabongo acheni ujuha
 
Yanga inafeli kwa sababu ya watu kama mleta mada.

Kila kitu ni complain. Azam ni timu nzuri na ile game ilikuwa 50/50, basi tu imetokea na lile goli halikuwa planned.

Azam ile timu ni nzuri, Yanga pia ni timu nzuri huwezi kuifananisha na ile ya Zahera.

Mihemko ya washabiki tu. Kocha Kaze alikuwa mzuri sana na hata Eymael alikuwa kocha mzuri sana kwa Yanga
 
Yanga inafeli kwa sababu ya watu kama mleta mada...
Hakika, ila goli nilikuwa planned na Dube.

Mpira ulikuwa 50/50 yeyote angeweza fungwa.

Azam waliitumia vizuri nafasi yao moja Yanga hawakufanikiwa kutumia nafasi walizozipata.

Azam ni timu nzuri na inaweza kuifunga timu yoyote hapa Tanzania zikiwemo Simba na Yanga.
 
Lile goli ni kama magoli mengi anayofungwa Yanga.
Center backs hawasomani. Mpira umepigwa kichwa na Ninja, Dube yupo peke yake. Ni makosa ya beki zaidi kuliko upangaji wa shambulizi.
Kipa mzuri pia angeucheza ule mpira.
 
uzi wako utafutwa sasa hivi kuna wafanyakazi wa jf ni yanga na ccm watakasirika sio mda
 
Lile goli ni kama magoli mengi anayofungwa Yanga.
Center backs hawasomani. Mpira umepigwa kichwa na Ninja, Dube yupo peke yake. Ni makosa ya beki zaidi kuliko upangaji wa shambulizi.
Kipa mzuri pia angeucheza ule mpira.
Ndio unaambiwa mpira ni mchezo wa makosa.
Kosa moja unaadhibiwa.
Ni vigumu timu kucheza dakika 90 bila kufanya kosa hata moja, na likitumiwa vizuri zinazaa goli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…