Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3]Basi msukuma.
[emoji2955][emoji2955][emoji2955]Hahaa naona mpare katoa jicho
Ha gomez wa simba hajui kiswahiliYule kocha wetu wa timu ya Taifa Mbrazil mbona alikuwa anazungumza kireno. Wakati wachezaji wetu wanazungumza Kiswahili/English
Timu ilikuwa inafanya vizuri
Punguza wenge Na ushabiki
Hakika, ila goli nilikuwa planned na Dube.Yanga inafeli kwa sababu ya watu kama mleta mada...
Lile goli ni kama magoli mengi anayofungwa Yanga.Hakika, ila goli nilikuwa planned na Dube.
Mpira ulikuwa 50/50 yeyote angeweza fungwa.
Azam waliitumia vizuri nafasi yao moja Yanga hawakufanikiwa kutumia nafasi walizozipata.
Azam ni timu nzuri na inaweza kuifunga timu yoyote hapa Tanzania zikiwemo Simba na Yanga.
uzi wako utafutwa sasa hivi kuna wafanyakazi wa jf ni yanga na ccm watakasirika sio mdaHivi unachaguaji kocha ambae mawasiliano na wachezaji unakua mgumu?
Kocha anajua kuzungumza kiarabu na kifaransa tu, wakati wachezaji wako wanaelewa Kiswahili, English(kama wapo) na wachache wanaongea kifaransa, vipi hapa wataelewana vizuri kupitia wakalimani ambao nao ni wachezaji?
Hivi kweli waliwaza vyema katika hili?
Wakipata matokeo mabovu wataanza kutafuta wa kymlaumu.
Ndio unaambiwa mpira ni mchezo wa makosa.Lile goli ni kama magoli mengi anayofungwa Yanga.
Center backs hawasomani. Mpira umepigwa kichwa na Ninja, Dube yupo peke yake. Ni makosa ya beki zaidi kuliko upangaji wa shambulizi.
Kipa mzuri pia angeucheza ule mpira.
uzi wako utafutwa sasa hivi kuna wafanyakazi wa jf ni yanga na ccm watakasirika sio mda
Yule mzee wa Leeds united kingereza hakipandi na timu inacheza vizuri tu, Wabongo acheni ujuha