Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Bandugu mnawaona wabunge waliochaguliwa tarehe 29 Uko majimboni? Wamerudi kimya kimya na kuingia makwao usiku wa MANANE na hawaongei lolote?
Wameshindwa hata kuitisha mikutano ya shukurani au bunge lote walimwagiza Baba Levo akafanyie Kigoma kwa niaba Yao?
Kwa hiyo Baba Levo ni mbunge wa kitaifa?😂🤣🙏
Nina hisia wanaogopa mpaka wanachama wao wanaweza wapiga mabanzi.
Yaliyopita SI ndwere wajamani jitokezeni kutushukuru SI mlishinda kweli?🤣😂?
Kwa ground mambo Bado ni fayaaaaaa! Hata yeye ilibidi apangiwe watumishi waigize kama wapiga kura awape AHADI yakuwa IPO siku atakuja kuwashukuru maana wamempa heshima kubwa ya ushindi wa asilimia 97% ila Bora yake
Nyinyi mpo majimboni au wote mmebakia DODOMA?