nimeona!
THAT'S MY BOY!yani wewe ndo founder zen unapangiana zamu na mama kutandika kitanda sijui kupika.zero pabu wakijua hili bia zitanyweka kweli?(hasa inapokumbukwa kwamba wewe ndiye unaefunga baa mara kwa mara watu wanywe bureπ)
hivi kasemaje huyo mama?Oups! I didnt know you were just evaluating! Apology accepted!
Ndio maana muda mwingine access inakuwa denied maana mtu anajiona kama object na sio human being
Binti siku moja mzee mmoja aliwahi niambia kuwa siku wanawake wangekuja kujua umuhimu wa kazi wanazozifanya wasingetaka hata siku moja mwanaume azijue akajifanyia. Rafiki yangu mmoja alitengana na mkewe kwa muda hivi, kabla hawajarudiana nilimuuliza ni kitu gani kinacho miss kwenye maisha yake tangu aachane na mpezi wake, jibu alilolitoa lili nifanya nimpigie simu yule mzee kukubali usemi wake..eti jamaa hawezi kupata soksi zake asubuhi kwani siku zote mkewe ndio alikuwa anampangia soksi..and that small things ndivyo vinavyowafanya wanawake muwe spesho kuliko viumbe wengine huku duniani( oni siriasi noti)
Onyesheni basi kuwa mnathamini tunachofanya sio siku sox hazionekani basi unamkoromea mke wako as if umemuajiri..its not fair at all
ohooo...binamu bana,,,,πHongera FL1 una bahati kama nini!
Onyesheni basi kuwa mnathamini tunachofanya sio siku sox hazionekani basi unamkoromea mke wako as if umemuajiri..its not fair at all
Inategemea na jinsi alivyolelewa na wazazi/walezi wake,kuna wanaume
wamelelewa vizuri kweli kweli. Wanafahamu kazi zote zinazotakiwa kufanyika ndani ya nyumba. Hivyo haijalishi kabila hapa, sana sana ni malezi..........kama alipata mzazi/mlezi mzuri huyo mwanaume atatandika tu kitanda.