Siwema atoa machozi ya furaha baada ya kuona nyumba mpya ya Ney

Siwema atoa machozi ya furaha baada ya kuona nyumba mpya ya Ney

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304



Katika harakati za Ney wa Mitego kuonesha mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, jana ameonyesha nyumba yake mpya yenye thamani ya Mil 170 ambayo ipo maeneo ya Kimara.

Katika tukio hilo la kuonesha nyumba pia alimsuprise mpenzi wake Siwema ambae alikuwa hajui kama anajenga ambapo kitendo hicho kilimfanya Siwema atokwe na machozi ya Furaha.

Angalia Pichaa hizo za Nyumba yake Mpya hapa Chini:




[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Picha:Bongo5
 
hata mm nashangaa sana maana kama ndo mziki unalipa kiasi hichi basi wengi tutakuwa tumekuwa juu
 
Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta
 
Hii ndiyo Tanzania! Mlinzi wa getini anamiliki nyumba ya gorofa huku watoto wake wakisoma nje ya nchi!

Sembe imenyenyua sana maisha ya wabongo flava.
 
Dah nasubiri mda wataumbuana wenyewe kama nyumba ni lake au si lake maana huwa hawachelewi!

Kama yake basi mziki unalipa sana
 
wabongo bana,...sembe!! sembe!! mwacheni ale jasho lake true boi!.BONGOFLEVA UKIWA UNAJIELEWA INALIPA!!
 
Nyumba mpya naona kuna mti mkubwa sana ambao utakuwa na zaidi ya miaka mitano hivi hapo. Afu pia thamani ya hiyo nyumba haiwezi kufika huko, hiyo ni chini ya 100mil. Labda akijumlisha na hela za gari zinaweza fika 98mil.
Wasanii wa Tanzania uongo unawasumbua ila wakifa tunajua ukweli wote. Yule mwenye Bilioni benki hadi leo hajamaliza jenga huyu nae eti nyumba mpha
 
daaa diamond alisema ana billion moja sijui jumba lake litakuaje????????? Kama ney hivi tu
 
Acheni kutisha watu, ili wachelewe kuanza kujenga kwa kuhofu ghalama nyumba ya milion 170, haiko hivyo labda kn fundi alikuwa na kibali cha kujenga nyumba yake kwa ghalama za jamaa
 
Tatizo letu cc watanzania hua hatuishiwi na majungu.hao wanaoponda utakuta hata kitanda hawana.kuanza kuchunguza mti,sijui dish huo ni umbea.fuata mambo yako.hongera sana kwako Ney.

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Dish limechakaa kama la miaka mitano iliyopita au alihama nalo? Hiyo nyumba itakuwa imefanyiwa renovation tu tena inawezekana kwa pesa zisizozidi mil 30
 
wabongo bana,...sembe!! sembe!! mwacheni ale jasho lake true boi!.BONGOFLEVA UKIWA UNAJIELEWA INALIPA!!

Mkuu kila kazi ukiwa unajielewa inalipa kikubwa ni brain kufanya kazi ya kufikiri vizuri,
watu wengi wanaishi bila malengo hata bajeti hawapangi.
 
Back
Top Bottom