Siwema atoa machozi ya furaha baada ya kuona nyumba mpya ya Ney

Siwema atoa machozi ya furaha baada ya kuona nyumba mpya ya Ney

Hongera bro, umejitahidi sana kufanya maamuzi sahihi kwa jambo litakalokusaidia wewe na familia yako kwa miaka mingi. Hongera sana japo nawapa pole vijana wanaotumia nguvu, akili na mda mwingi kuwekeza katika technolojia. Vitu vinavyolipa bongo ni Siasa na Entertainment...nasikitika nchi yangu inawekeza sana katika Nyanja hizo na kusahau kabisa kuhusu uhandisi, udaktari na fani za namna hiyo ambazo kwa mtazamo wangu ni uwekezaji mkubwa zaidi kwa taifa lolote linaloona mbele. China Japa, Korea nazingie zimefika hapo zilipo baada ya kuthamini na kuwekeza katika Uhandisi na Technolojia. Dar ukitaka kufika sehemu 1 kwenda nyingine fupi tu unachukua masaa. Unapteza lots of productive time, Consume lots of fuel, chafua sana mazingira......tunahitaji kupata wafumbuzi wa matatizo makubwa ya taifa yanayotugharimu sana like Umeme, Maji, Barabara, jenzi wa kufuata ramani e.t.c
But hatavijana wenyewe sikuhizi hawataiki tena kujisughulisha na hayo mambo coz no body cares on it...wenzao in politics and entertainment wanatoka kirahisi like that......Mungu atusaidie kama taifa tupate maono ya Tanzania yenye maendeleo. Amen
 
Hongera bro, umejitahidi sana kufanya maamuzi sahihi kwa jambo litakalokusaidia wewe na familia yako kwa miaka mingi. Hongera sana japo nawapa pole vijana wanaotumia nguvu, akili na mda mwingi kuwekeza katika technolojia. Vitu vinavyolipa bongo ni Siasa na Entertainment...nasikitika nchi yangu inawekeza sana katika Nyanja hizo na kusahau kabisa kuhusu uhandisi, udaktari na fani za namna hiyo ambazo kwa mtazamo wangu ni uwekezaji mkubwa zaidi kwa taifa lolote linaloona mbele. China ,Japan, Korea nazingie zimefika hapo zilipo baada ya kuthamini na kuwekeza katika Uhandisi na Technolojia. Dar ukitaka kufika sehemu 1 kwenda nyingine fupi tu unachukua masaa. Unapteza lots of productive time, Consume lots of fuel, chafua sana mazingira......tunahitaji kupata wafumbuzi wa matatizo makubwa ya taifa yanayotugharimu sana like Umeme, Maji, Barabara, jenzi wa kufuata ramani e.t.c
But hatavijana wenyewe sikuhizi hawataiki tena kujisughulisha na hayo mambo coz no body cares on it...wenzao in politics and entertainment wanatoka kirahisi like that......Mungu atusaidie kama taifa tupate maono ya Tanzania yenye maendeleo. Amen
 
Dah...mzee umejikunja miaka 7 ya usongo wa shule ya msingi then ukaibukia Malangali ukala miaka 4 ya kigumu mwendo wa buza lisilo na sukari na bondo jeusiiiiiiiii kila mchana na usiku huku ukiitwa bundi kwa kukesha ukipiga msuli then ukapiga miaka 2 Tosamanganga PCM msuli nondo mwanzo mwisho alafu ukapiga miaka ya msoto wa bachelor of Chemical engineering then ajira ukakaa miaka 2 mtaani hueleweki na kwa shidaaaaa unakuja kuotea sehemu ya kupata japo nauli za kichovu za kuzugia mtaa huku ukisubiria neema ishuke kimiujiza alafu unafungua mtandao unakutana na habari kama hii ya dogo katoa single moja then anafanya mbwembwe hizi.....hakyanani si mliona panya road...sasa subirini mafisi ............
 
Maigizo mengine bana kweli kazi ana mshutukiza mpenzi wake wakati nyumba inaonyesha inakaliwa long ina maana jamaa alipanga geto na huku nyumba yake inaishi na sofa tu,halafu kweli kwa mtu anayependa sifa na kila leo anajitangaza hapa kweli ataweza kukaa kimya eti asimwambie la aziz wake,wakati nyumba ina kila,bai atakuwa huyo mpenzi wameanzana jana.Halafu sijui ni picha naona mamie kama mtu mzima huyu aliyemshutukiza i kama mwanawe au mdogo wake
 
Dah...mzee umejikunja miaka 7 ya usongo wa shule ya msingi then ukaibukia Malangali ukala miaka 4 ya kigumu mwendo wa buza lisilo na sukari na bondo jeusiiiiiiiii kila mchana na usiku huku ukiitwa bundi kwa kukesha ukipiga msuli then ukapiga miaka 2 Tosamanganga PCM msuli nondo mwanzo mwisho alafu ukapiga miaka ya msoto wa bachelor of Chemical engineering then ajira ukakaa miaka 2 mtaani hueleweki na kwa shidaaaaa unakuja kuotea sehemu ya kupata japo nauli za kichovu za kuzugia mtaa huku ukisubiria neema ishuke kimiujiza alafu unafungua mtandao unakutana na habari kama hii ya dogo katoa single moja then anafanya mbwembwe hizi.....hakyanani si mliona panya road...sasa subiri mafisi ............

Mafisi reli au sio.
 
Back
Top Bottom