Hongera bro, umejitahidi sana kufanya maamuzi sahihi kwa jambo litakalokusaidia wewe na familia yako kwa miaka mingi. Hongera sana japo nawapa pole vijana wanaotumia nguvu, akili na mda mwingi kuwekeza katika technolojia. Vitu vinavyolipa bongo ni Siasa na Entertainment...nasikitika nchi yangu inawekeza sana katika Nyanja hizo na kusahau kabisa kuhusu uhandisi, udaktari na fani za namna hiyo ambazo kwa mtazamo wangu ni uwekezaji mkubwa zaidi kwa taifa lolote linaloona mbele. China Japa, Korea nazingie zimefika hapo zilipo baada ya kuthamini na kuwekeza katika Uhandisi na Technolojia. Dar ukitaka kufika sehemu 1 kwenda nyingine fupi tu unachukua masaa. Unapteza lots of productive time, Consume lots of fuel, chafua sana mazingira......tunahitaji kupata wafumbuzi wa matatizo makubwa ya taifa yanayotugharimu sana like Umeme, Maji, Barabara, jenzi wa kufuata ramani e.t.c
But hatavijana wenyewe sikuhizi hawataiki tena kujisughulisha na hayo mambo coz no body cares on it...wenzao in politics and entertainment wanatoka kirahisi like that......Mungu atusaidie kama taifa tupate maono ya Tanzania yenye maendeleo. Amen