Siwema atoa machozi ya furaha baada ya kuona nyumba mpya ya Ney

Hongera sana True Boy hustle hard,naye madee nyumba yake kila siku inabadirka thamani mara 200m mara 120m haieleweki.....ila uza hiyo passo uende hata Mark X au Murrano.
 
safi sana kajitahidi ney maana wengi wa wasanii wanaishia kupanga chumba na sebule sinza tu
 
Hongera Ney! Hope una biashara nyingine nje ya music.
 
Safi na ninaona apo nje Nissan murano big up Ney
 
Ni wakati sasa nae Diamond akamaliza ya kwake!
 
Amejitahidi sana. Wasanii wengi wa kizazi kipya hawana hata viwanja
 
kila kazi ni kazi kinachotakiwa akili kwani wauza sembe wote wanamafanikio???????????????????
 
Hongera sana True Boy hustle hard,naye madee nyumba yake kila siku inabadirka thamani mara 200m mara 120m haieleweki.....ila uza hiyo passo uende hata Mark X au Murrano.

Si nimeona katupia picha ya Murrano
 
haya ni mambo ya Facebook, hata mtu ajinadi ana hisa ngapi crdb anamiliki studio ngapi na account bank inasomaje salio.

issue ya nyumba hata wema alituonesha nyumba yake ya million 400.
 
..coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta
Mkuu acha ushamba, utachekwa. Nani kakwambia hayo madishi ya PF hayatumiki? Kwa taarifa yako kuna baadhi ya satellites huwezi kushika kwa madishi madogo, lazima uwe nalo kubwa, aidha la nyacu au kama hilo pichani. By the way tembelea thread yetu kule kwenye gadgets ujionee madishi hayo yanavyobadili ulimwengu wa digitali.

Dish limechakaa kama la miaka mitano iliyopita au alihama nalo? Hiyo nyumba itakuwa imefanyiwa renovation tu tena inawezekana kwa pesa zisizozidi mil 30
Ni wivu au?

Bustani ya hiyo nyumba na hilo Dish linaonekana ni nyumba ya 5yrs hivi toka imejengwa...amenunu
Lengo hasa la commenta yako ni lipi? Kuponda nyumba ya Ney ama kumsaidia kuiboresha? Msio na nyumba mna maneno sana.
 
Shoga ukiona Mwanaume kajenga au kanunua hajakwambia eti suprize ujue havikuhusu hivyo so kesho na keshokutwa Utaondoka na Begi lako tu ...Tafuta Vyako na wewe

D,
What if title deed ya hiyo surprise inasoma jina lako?
 
Shoga ukiona Mwanaume kajenga au kanunua hajakwambia eti suprize ujue havikuhusu hivyo so kesho na keshokutwa Utaondoka na Begi lako tu ...Tafuta Vyako na wewe

Umeongea point, et linajifanya kulia na surprise,nyoko zake , ila kwa kuwa ni hawara hamna shida tu alivyo msuprise , angekuwa mke ndo ingekuwa hatarii
 
Hivi ni kweli Bongo fleva inalipa kiasi hiki? Au pembeni kuna mambo yetu ya sembe?

All in all Big up sana Ney kwa mafanikio yako.

mziki unalipa asikwambie mtu chukulia tu ney anafanya show kwa 500000 na kwa mwezi anafanya show let say 10 tu haya chukua hiyo 500000*10=5,000,000 hiyo kwa mwezi tena kwa kiwango cha chini! jamaa wanapiga pesa tena pesa nzuri tu ila kuna tatizo la kujitambua
 
Naona watu humu wanadandia magari kwa mbele tu, hata hawaangalii topic inahusu nini kabla ya kujadili. Tittle inaongelea kuhusu binti aliyamwaga machozi, nyi mnajadili sijui Dish la zamani, mara sembe oo Domo hana nyumba. Division 5 muhimu kwa TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…