Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua majungu hayakosekan so nimejianda na watu Kama nyinyi....sasa kwenye cv ujiuze na kwenye mapenz ujiuze we vp wewe lala Kama vp....hi hi hikwa maandishi tu inaonyesha sanaa ya ushawishi huna sasa kama na muonekano pia huna wala pesa basi utasubiri sana kuokota embe chini ya mchongoma!
Kwa nn unauliza hivyo??
me nimekubali tuwe pamoja, sijali cha pesa, kazi, wala nini! bora tu uwe na constructive ideas... je uko tayari??
Hujajitambua kbs, kwan hujui hata unachokitaka,kwa taarifa yako cv kwenye mapnz inamatter sana labda umpate pupil mwenzio,yani ni muhimu kuliko hata kwenye kazi coz kazi unaweza ukapewa na mjomba ako bila cv!Najua majungu hayakosekan so nimejianda na watu Kama nyinyi....sasa kwenye cv ujiuze na kwenye mapenz ujiuze we vp wewe lala Kama vp....hi hi hi