Siwez pata galfrnd

Siwez pata galfrnd

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
Jaman nahitaj galfrind sichagui chochote ni yeye na mapenz ya ukweli.
 
duh!!! wen u are desparate anything goes!
kijana tulizana kanza kwa style hii ndio hutafanikiwa kabisa maana inaonyesha hujui unachotaka.
 
duh!!! wen u are desparate anything goes!
kijana tulizana kanza kwa style hii ndio hutafanikiwa kabisa maana inaonyesha hujui unachotaka.

Ah ndugu subir bas....mbona tena hivyo?
 
kwa maandishi tu inaonyesha sanaa ya ushawishi huna sasa kama na muonekano pia huna wala pesa basi utasubiri sana kuokota embe chini ya mchongoma!
 
kwa maandishi tu inaonyesha sanaa ya ushawishi huna sasa kama na muonekano pia huna wala pesa basi utasubiri sana kuokota embe chini ya mchongoma!
Najua majungu hayakosekan so nimejianda na watu Kama nyinyi....sasa kwenye cv ujiuze na kwenye mapenz ujiuze we vp wewe lala Kama vp....hi hi hi
 
Kwa hiyo JF nisokoni??maana ulivyo uliza as if wapo wamafungu hapa jamvini ngoja waje wenyewe!!!eti mnabebeka kirahisi hapa??
 
Kabaizer pitia huu uzi labda utakusaidia kupata galfriend..... Link
 
huna criteria yoyote ile??
 
As long as hujui unataka nini huwezi kupata mdogo wangu. Mapenzi ya ukweli maana yake nini? anza kufafanua hapo. Alafu sasa fikiria ni mwanamke wa aina gani anaweza kua na chances nyingi za kukupa mapenzi kama hayo? Jiulize pia wewe uko tayari kumpa nini mwanamke huyo? Ukisha jivu maswali yote hayo rudi sasa tukupe ushahuri wa ziada.
 
me nimekubali tuwe pamoja, sijali cha pesa, kazi, wala nini! bora tu uwe na constructive ideas... je uko tayari??
 
Najua majungu hayakosekan so nimejianda na watu Kama nyinyi....sasa kwenye cv ujiuze na kwenye mapenz ujiuze we vp wewe lala Kama vp....hi hi hi
Hujajitambua kbs, kwan hujui hata unachokitaka,kwa taarifa yako cv kwenye mapnz inamatter sana labda umpate pupil mwenzio,yani ni muhimu kuliko hata kwenye kazi coz kazi unaweza ukapewa na mjomba ako bila cv!
 
Back
Top Bottom