milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 631
Je nini unafanya kwa sasa kuhakikisha hii ndoto yako inakuwa ya kweli?nitahakikisha kabla sijafikisha miaka 28 niwe na mihela kibao.
Nafanya yote yanayotakiwa kufanywa ili kutimiza hii ndoto. Na wewe unajua kabisa siwezi kuandika hapa ninachofanyaJe nini unafanya kwa sasa kuhakikisha hii ndoto yako inakuwa ya kweli?
Jitihada za binadamu hazishindi kudra ya Muumba.Ninachojua kwa hakika sitakufa maskini.
Mungu akinijalia uhai na baraka zake nitahakikisha kabla sijafikisha miaka 28 niwe na mihela kibao.
Even if odds are not in my side, at least niwe na kausafiri hata Athlete Crown namba D, nyumba ya kuishi na vibiashara kadhaa.........
Najua ni vigumu ina inawezekana kwa sababu namtegemea Mungu. Na siishii kumtegemea Mungu tu, nategemea na juhudi zangu kufanikisha hili.
Hii ni asubuhi. Na hii ni motivation yangu.
Jumatatu njema
Uko sahihi sana mkuu. Hata hivyo kudra za Mungu bila jitihada zozote sidhani kama inawezekana. Ndio maana nikasema hapo juu nahitaji uhai na baraka zake AllahJitihada za binadamu hazishindi kudra ya Muumba.
Ninachojua kwa hakika sitakufa maskini.
Mungu akinijalia uhai na baraka zake nitahakikisha kabla sijafikisha miaka 28 niwe na mihela kibao.
Even if odds are not in my side, at least niwe na kausafiri hata Athlete Crown namba D, nyumba ya kuishi na vibiashara kadhaa.........
Najua ni vigumu ina inawezekana kwa sababu namtegemea Mungu. Na siishii kumtegemea Mungu tu, nategemea na juhudi zangu kufanikisha hili.
Hii ni asubuhi. Na hii ni motivation yangu.
Jumatatu njema
Even if odds are not in my side, at least niwe na kausafiri hata Athlete Crown namba D, nyumba ya kuishi na vibiashara kadhaa.....Your dreams are so easy and cheap,uwe na Crown?
You can do more than this
Shukuran mkuu[emoji1491][emoji1491]keep up
Anabadili kudra kutumia kitu kinaitwa Dua.Jitihada za binadamu hazishindi kudra ya Muumba.
Umeamka na Motivation ya Nguvu. All the BestNinachojua kwa hakika sitakufa maskini.
Mungu akinijalia uhai na baraka zake nitahakikisha kabla sijafikisha miaka 28 niwe na mihela kibao.
Even if odds are not in my side, at least niwe na kausafiri hata Athlete Crown namba D, nyumba ya kuishi na vibiashara kadhaa.........
Najua ni vigumu ina inawezekana kwa sababu namtegemea Mungu. Na siishii kumtegemea Mungu tu, nategemea na juhudi zangu kufanikisha hili.
Hii ni asubuhi. Na hii ni motivation yangu.
Jumatatu njema
1. Ishi kwa kumtegemea muumbaNinachojua kwa hakika sitakufa maskini.