milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 631
Ninachojua kwa hakika sitakufa maskini.
Mungu akinijalia uhai na baraka zake nitahakikisha kabla sijafikisha miaka 28 niwe na mihela kibao.
Even if odds are not in my side, at least niwe na kausafiri hata Athlete Crown namba D, nyumba ya kuishi na vibiashara kadhaa.........
Najua ni vigumu ina inawezekana kwa sababu namtegemea Mungu. Na siishii kumtegemea Mungu tu, nategemea na juhudi zangu kufanikisha hili.
Hii ni asubuhi. Na hii ni motivation yangu.
Jumatatu njema