Siwezi kuishi bila penzi la Diamond!!

Siwezi kuishi bila penzi la Diamond!!

Bongo wanaume wote magay..huu wivu tutaacha lini jamani!
 
na mfaham diamond in-and out- he used to be a gay..hata hao madem anafanya ili kuficha upuuzi wake...hivi we dazipozi unafanya kazi gazeti la udaku??? mbona thread zako nyingi ni pumba??

#justasking!

Wivu na kupaka wenzenu matope ndiyo kawaida ya baadhi yenu.Kijana fanya kazi kwa bidii na wewe ufanikiwe wacha kuharibu majina ya watu kwachoyo cha roho.

Wivu na kupaka wenzenu matope ndiyo kawaida ya baadhi yenu.Kijana fanya kazi kwa bidii na wewe ufanikiwe wacha kuharibu majina ya watu kwachoyo cha roho.

wabongo ndo walivyo,Mx
 
Wanajisumbua tu hao wadada,waje kwetu mbona tuko free.
 
Huyu shemeji yangu mbona anawadhalilisha dada zake wa kilimanjaro?
 
hahaha atakuwa juha kweli huyo binty duh.
wanawake bana nadhan 2ko wengi had 2nabore mmh...............mpaka kajitangaza duuh kaz kwelkwel.

Unaogopa competition? Huo si ndio uhuru wa kuongea!
 
Katika hali isiyo ya kawaida msichana 1 kutoka mkoani Kirimanjaro aliyejitambukisha kwa jina la Yusra Bakari amejitokeza hadharani kuwa anampenda Diamond kupita kiasi,oa yuko radhi kuoldwa nae wakati wowote ,pia amesema huu mwka wa tatu Diamond anautesa moyn wake,Msichana huyo kasema amesha tapeliwa sana na watangazaji wa Kirimanjaro walio ìtaji pesa ili wa munganishe mwisho wa siku wana mpa namba feki'

Kama aliweza kuishi zaidi ya miaka mitatu iliyopita, iweje sasa ashindwe bila Diamond?
 
dunia imejaa vituko sana huyu nae anawaza nini?
 
Katika hali isiyo ya kawaida msichana 1 kutoka mkoani Kirimanjaro aliyejitambukisha kwa jina la Yusra Bakari amejitokeza hadharani kuwa anampenda Diamond kupita kiasi,oa yuko radhi kuoldwa nae wakati wowote ,pia amesema huu mwka wa tatu Diamond anautesa moyn wake,Msichana huyo kasema amesha tapeliwa sana na watangazaji wa Kirimanjaro walio ìtaji pesa ili wa munganishe mwisho wa siku wana mpa namba feki'

peleka Facebook hii kitu yako
 
Back
Top Bottom