Siwezi kuishi bila wewe

Joined
Sep 29, 2020
Posts
15
Reaction score
36
Siwezi kuishi bila wewe sasa.sioni dhumuni la kuishi kwangu bila wewe. Ikiwa nitatenganushwa na wewe nitakuwa nimetenganishwa na nafsi yangu mwenyewe.

Kwa sababu wewe ndiye furaha yangu na maumivu yangu. Ninaishi siku yang kwaajili yako tu ninajitolea Muda wangu wote kwaajili yako. Sitaki kuishi mbali na wewe. Kila pumzi ninayovuta ni kwa ajili yako, naishi kwa ajili yako tu.

Uaminifu wako unanitunza. Nimekupa muda wangu wote. Ninaondoa huzuni yote iliyopo moyoni mwako. Nikiwa na wewe hakuna kitu ambacho hakitamamilika.
 
maneno matupu hayavunji mfupa, pesa inaongea kuliko hayo maandishi uchwara
 
Anayejiita mpenz wangh neno nakupenda analiota kwnye redio mbao
 
Msg za hivi nasomaga mstari wa kwanza namalizia na mstari wa mwisho,kisha na reply.
 
Kuna miaka bila kutumiwa sms ya aina hiyo na mupenzi bado hajaona kama anakupenda kikweli.

Tofauti na siku hizi sms tamu mojawapo ni zile za miamala. Lol
Ulikuwepo hiyo miaka au ulisimuliwa? Acha kamba Shadeeya [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…