Siwezi kuishi bila wewe sasa.sioni dhumuni la kuishi kwangu bila wewe
Ikiwa nitatenganushwa na wewe nitakuwa nimetenganishwa na nafsi yangu mwenyewe.
Kwa sababu wewe ndiye furaha yangu na maumivu yangu.
Ninaishi siku yang kwaajili yako tu ninajitolea Muda wangu wote kwaajili yako. Sitaki kuishi mbali na wewe. Kila pumzi ninayovuta ni kwa ajili yako, naishi kwa ajili yako tu.
Uaminifu wako unanitunza. Nimekupa muda wangu wote. Ninaondoa huzuni yote iliyopo moyoni mwako. Nikiwa na wewe hakuna kitu ambacho hakitamamilika.