Siwezi kuishi bila wewe

Siwezi kuishi bila wewe

Hilo jibu lako limeniacha hoi, kufa hafi ila cha moto atakiona[emoji1787][emoji1787]
Tumpe muda atakuja kuleta mrejesho. Mapenzi hayajawahi kumuacha mtu salama - hasa haya ya sili silali. Unaweza kuta mwenzake anamchukulia poa tu wakati yeye huku kawakaa kama nyota inayokaribia kuripuka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kabisa, ila pia anawezekana amebahatika, amekutana na soulmate na wakadunda hadi mwisho, tumtakie kheri
 
Siwezi kuishi bila wewe sasa.sioni dhumuni la kuishi kwangu bila wewe
Ikiwa nitatenganushwa na wewe nitakuwa nimetenganishwa na nafsi yangu mwenyewe.
Kwa sababu wewe ndiye furaha yangu na maumivu yangu.
Ninaishi siku yang kwaajili yako tu ninajitolea Muda wangu wote kwaajili yako. Sitaki kuishi mbali na wewe. Kila pumzi ninayovuta ni kwa ajili yako, naishi kwa ajili yako tu.
Uaminifu wako unanitunza. Nimekupa muda wangu wote. Ninaondoa huzuni yote iliyopo moyoni mwako. Nikiwa na wewe hakuna kitu ambacho hakitamamilika.
naam
 
Heee!! Mi sio katoto Shimba.
Aaa wapi! Barua hizo tulikuwa tunaziandika miaka ya 60 na 70 huko. Naamini we wala ulikuwa hujazaliwa. Watoto wa late 90s nyinyi haya mambo hamkuyakuta [emoji16][emoji16][emoji16]

Nyinyi ni watu wa xaxa unaxemaje? 2naktn ln? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sms nzuri za mapenzi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaa wapi! Barua hizo tulikuwa tunaziandika miaka ya 60 na 70 huko. Naamini we wala ulikuwa hujazaliwa. Watoto wa late 90s nyinyi haya mambo hamkuyakuta [emoji16][emoji16][emoji16]

Nyinyi ni watu wa xaxa unaxemaje? 2naktn ln? [emoji16][emoji16][emoji16]
Uwiiii!! Wale mliokuwa mkiwaaandikia ndio marika yangu sasa hao Shimba. Najua hutakubali lakini huo ndo ukweli. 😂😂.
 
Kuna miaka bila kutumiwa sms ya aina hiyo na mupenzi bado hajaona kama anakupenda kikweli.

Tofauti na siku hizi sms tamu mojawapo ni zile za miamala. Lol
Enzi zetu maneno ya kwenye barua yalikua mataam sana. Unalala na barua yako umeiweka chini ya mto😀😀😀
 
Back
Top Bottom