Siwezi kuishi Dar...

Mangi shangali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
533
Reaction score
820
Habari zenu..

Juzi nilikuwa Dar maeneo ya Mabibo kweli Dar sio sehemu pakuishi watu. Kwanza vijana wa ovyo sana, wanajiona wajanja halafu pesa hawana, nguo zao sasa za ajabu kweli.

Joto kama jehanamu ndani mtiti nje mtiti, vile vinyumba vyao vifupi kama mabanda ya kufugia nguruwe.

Kuna kasumba mbaya sana, mtoto hamuheshimu mkubwa, yani wanaishi kama kambale ajulikani mkubwa nani mtoto nani.

Vyakuka vya kiwaki mimi siwezi kula chips hata siku moja, mikuku ya kisasa daah mnamkuta kijana anakula chips tomato nyingi na mikuku ya kisasa ndo maana vijana wa Dar hawana nguvu za kiume

Mimi nitaishi Mwanza, Shinyang, Musoma, Mbeya, Iringa, Moshi ila sio Dar
 


Huwezi elewa uzuri wa Dar es Salaam kirahisi.
 
Mkuu.....
Umesahau daslam:-
1. Hawatupi miguu ya kuku.
2. Utumbo wa kuku unaliwa huko daslam.
3. Wanaume wanavaa vipensi mwisho juu ya mapaja na kandambili..🤔
4. Mume anaagiza chips mayai akiwa na mkewe..🤗
5. Wanaume wananyonya pipi kijiti..😂
6. Wanathamini gari kuliko nyumba...😝
7. Mwanaume anakunywa henken badala ya balimi..🤨
8. Eti mwanaume anavuta sigara badala ya bange..😎
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanaume wa dar wanafurahisha
Kijensi kifupi fupi mapaja yote nje
 
hahahh
 
Wewe umehadithiwa kuhusu Dar hujawahi kufika Dar.

Yani ufike mabibo useme ukifika Dar huu ni utani sasa.

Umaarufu wa mabibo ni solo la ndizi na Chuo cha NIT na Loyora basi.

Halafu tukujurishe tu sisi wana Darisalama sasa hivi ni winter time tunajifunika maduvet na mablanketi usiku ni baridi.

Acha urongo na kukariri, machinga wauza vitambaa sasa hivi hawana dili wamebadiri biashara.
 
Kwa hiyo mabibo sio dar??
Ngoja mfaume mfaume akusikie
 
Kwanini hujasema kuwa huwezi kuishi mabibo tu!?

Hujaishi Oysterbay, hujaishi mbezi, hujaishi mikocheni, hujaishi Masaki...

Kwanini unapima maisha ya mabibo na kugeneralize Dar es salaam nzima.
 
Kwanini hujasema kuwa huwezi kuishi mabibo tu!?

Hujaishi Oysterbay, hujaishi mbezi, hujaishi mikocheni, hujaishi Masaki...

Kwanini unapima maisha ya mabibo na kugeneralize Dar es salaam nzima.
Kwani mabibo sio dar??
 
We huna Hela
Dar Kuna mahali hakuna joto😅🤭

Dar ukiwa na Hela joto utalisikia tu, hata vyakula utakula vya ukweli sio hivyo vya kisasa
 
Kwakweli sahivi baridi kabisa
 
We huna Hela
Dar Kuna mahali hakuna joto😅🤭

Dar ukiwa na Hela joto utalisikia tu, hata vyakula utakula vya ukweli sio hivyo vya kisasa
Ukiishi dar akili zitakuwa kama chizi
Hivi unawezaje kuishi dar??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…