Siwezi kuishi Dar...

Siwezi kuishi Dar...

Ulipokuwepo huko zaidi wanaishi wa mikaoni...
 
Dar siyo sehemu ya kutafuta pesa kwa Sasa ni sehemu yakutumia na kuzalisha pesa ,ukienda kutafuta pesa Dar ,umechelewa kwa sasa

Dah, fuatilia records za finances na Makusanyo dar halafu soma tena ulichoandika utagundua wewe ni mtu wa aina gani.
 
Back
Top Bottom