DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kutokumwagia ndani,Wengi hawakumwagia ndani na mimba zimetunga.
Njia salama ya kujikinga na mimba ni Kutumia kondomu, au kutokufanya Kabisa.
Au Kutumia zile njia zingine za Uzazi wa Mpango.
Kumwagia ndani hakujawahi kuwa mbinu ya kuzuia mimba. Na hii imewagharimu wengi Mno.
Nmeitumia tangu balehe mpk Sasa nna 42
Sijawai kuzaa na mwanamke kwa bahat mbaya
Hata watoto Wangu kwny ndoa nmewazaa kwa mpangilio kwasababu ya mfumo huo.