Kutokumwagia ndani,Wengi hawakumwagia ndani na mimba zimetunga.
Njia salama ya kujikinga na mimba ni Kutumia kondomu, au kutokufanya Kabisa.
Au Kutumia zile njia zingine za Uzazi wa Mpango.
Kumwagia ndani hakujawahi kuwa mbinu ya kuzuia mimba. Na hii imewagharimu wengi Mno.
Kutokumwagia ndani,
Nmeitumia tangu balehe mpk Sasa nna 42
Sijawai kuzaa na mwanamke bahat mbaya
Hata watoto Wangu kwny ndoa nmewazaa kwa mpangilio kwasababu ya mfumo huo.
Ahsante sana tycoon, ujumbe mzuri sana huu..
Sadly utaanguka kwenye masikio ya viziwi..
Maneno ya busara sana mwenye kuelewa ataelewaBinafs naamini sio kila mwanamke ni wa kuzaa nae, hasa yule ambae unajua kabisa huna mpango wa kumuoa.
Tusiwachezee mabinti na kuwafanya singo mother Kisha tuje kuwasimanga humu
Eti nyie ndio mnapenda chipsi dryAmbavyo hampendi kusikia hizo mambo, basi msipende kula dry
Binafs naamini sio kila mwanamke ni wa kuzaa nae, hasa yule ambae unajua kabisa huna mpango wa kumuoa.
Tusiwachezee mabinti na kuwafanya singo mother Kisha tuje kuwasimanga humu
Deep pond huwa ana busara sana sema mikasi/mapilau ndo huwa yanamuharibia.Maneno ya busara sana mwenye kuelewa ataelewa