Siwezi kula makombo hata kama yamenona

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
tafakari
ijumaaa kareeem wana jf
 
leo ijumaa bana....akili imechoka kutafakari....saa hizi ni kutafuta bia zimepoa wapi......hebu tufafanulie tafadhali.....
 
Hivi makombo na kiporo vinafanana? Manake kiporo cha ubwabwa wa nazi na maharage ya nazi,mweh!
 
leo ijumaa bana....akili imechoka kutafakari....saa hizi ni kutafuta bia zimepoa wapi......hebu tufafanulie tafadhali.....
Kumbe na huyu anatumiaga! Enhee basi tupo wengi.
 
anaonja mwaya na bei mpya ilivyopanda ndio kama wamemwaga hela maofisini niko hapa breakpoint hatari tupu bia zinabadilishwa kama maji imebidi na maji madogo waongeze bei 1000/soda 1000/huyu jamaa sijui shafanya yachi club sijui...ama kachakatuliwa wapi hizi bei
 
hahahahah....hiyo imekula kwako kakak lazima uonje tuu makombo ya wenzio
 
Unaweza ukakipika mwenyewe lakini kikawa kinaliwa na wapishi wengine wanaotaka kujaribu recipe yako. Bora kiporo kilichozoea wapakuaji tofautii na sasa kimeamua kutulia na mlaji mmoja.
 
Hivi makombo na kiporo vinafanana? Manake kiporo cha ubwabwa wa nazi na maharage ya nazi,mweh!
Hahahahaha, I fell you! 😛oa
Tena unavichemsha kwa kuvichanganya, unavuruga vuruga hivi...
 
Lol! Afu kama kuna kiporo cha nyama choma unavurugia humo, na michicha! Mlo kamili!
Hahahahaha, I fell you! 😛oa
Tena unavichemsha kwa kuvichanganya, unavuruga vuruga hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…