Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafakari
ijumaaa kareeem wana jf
Kumbe na huyu anatumiaga! Enhee basi tupo wengi.leo ijumaa bana....akili imechoka kutafakari....saa hizi ni kutafuta bia zimepoa wapi......hebu tufafanulie tafadhali.....
tafakari
ijumaaa kareeem wana jf
Kumbe na huyu anatumiaga! Enhee basi tupo wengi.
mwee.....naonekana sista Perpetua eeh......
Hapana, unaonekana mother fiii wa kifungilo,lol
Hahahahaha, I fell you! 😛oaHivi makombo na kiporo vinafanana? Manake kiporo cha ubwabwa wa nazi na maharage ya nazi,mweh!
Wewe umesoma Kifungilo?
Hahahahaha, I fell you! 😛oa
Tena unavichemsha kwa kuvichanganya, unavuruga vuruga hivi...