Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Tangu uokoke hatunywi maji, ulipatwa na balaa gani hadi umekua mlokole?Ingia kwenye maombi ya usiku
Ahsante Coco, yaani nipo Lodge hapa, hakuna maziwa wala chai, napambana na njaa yanguPole, sababu unajua hautapata ndio inapamba
Kama kuna maziwa kwa friji kunywa, ya uvugu au moto mazuri.. Utalala tu.. Labda iwe eeeh unataka bado hayo umetaja
Pole sana. Mimi ndio napata "midnight snacks" hapa, karibu.Ahsante Coco, yaani nipo Lodge hapa, hakuna maziwa wala chai, napambana na njaa yangu
Tangu uokoke hatunywi maji, ulipatwa na balaa gani hadi umekua mlokole?
Unanitamanisha jamani, ahsantee japo kinyonge sanaPole sana. Mimi ndio napata "midnight snacks" hapa, karibu.
Ningekua Tanga ningekua nishakucheki mapema sana unitengenezee wali nazi na samaki wa kupaka😋 ila sasa nipo kanda ya ziwaHauko Tanga nikuletee chochote?
Hata mhudumu ungemuuliza jamani namna ya kupata chakula usiku.Kwingine sehemu za chips hazijafungwa Hadi muda huu.
Huko Kuna njaa 🙌Ningekua Tanga ningekua nishakucheki mapema sana unitengenezee wali nazi na samaki wa kupaka😋 ila sasa nipo kanda ya ziwa
Ongea na mhudumu vizuri, unaweza pata bodaboda umuagize chochote kitu.Ahsante Coco, yaani nipo Lodge hapa, hakuna maziwa wala chai, napambana na njaa yangu
Atakuwa alivuka na chake kwenye mkesha hata kama ni wewe unaachaje kuokokaTangu uokoke hatunywi maji, ulipatwa na balaa gani hadi umekua mlokole?
Kanda ya ziwa gani unashindwa kutoka ukatafute chips hapo nje au uko vijijiniNingekua Tanga ningekua nishakucheki mapema sana unitengenezee wali nazi na samaki wa kupaka😋 ila sasa nipo kanda ya ziwa
Ah ugenini usiku nitoke nikatafute msosi, nipo mjini ila hapana usalama kwanzaKanda ya ziwa gani unashindwa kutoka ukatafute chips hapo nje au uko vijijini
Umenipa wazo ngoja niwapigie simu,Ongea na mhudumu vizuri, unaweza pata bodaboda umuagize chochote kitu.