Siwezi kulala njaa inauma, nipo ugenini

Ushaanza kurogwa, ondoka huko haraka
 
We mvumilivu umefika hadi asubuhi Dr.

Mi njaa ya usiku siwezi vumilia hata kidogo, bora mchana naweza nisile siku nzima sio usiku. Akili yangu huwa inatumika sana usiku lazima nile nishibe, huwa nakula hata saa 7 usiku fully meal.
 
Ahsante mkuu..hapo kati ni mwendo wa maji+electrolytes na plain black tea..

Hii huwa naifanya once per month.but nafanya 48hrs mpaka 54hrs once every week..na pia nafanya OMAD..sikumbuki mara ya mwisho kula milo miwili ni lini..
Mkuu hii OMAD imekaaje , ni afya kufanya hivi lakini pia unakua kwenye viwango imara sana vya kiroho,lazima tujichaji adui hawezi tukamchukulia poa lazima auone upande wapili wa kiroho moto tulionao huwa nafurahi sana kujichaji nguvu za kiroho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…