Akili inatumika usiku kufanya nini wakati unatakiwa ulale fofofo?We mvumilivu umefika hadi asubuhi Dr.
Mi njaa ya usiku siwezi vumilia hata kidogo, bora mchana naweza nisile siku nzima sio usiku. Akili yangu huwa inatumika sana usiku lazima nile nishibe, huwa nakula hata saa 7 usiku fully meal.
Ili upate nini hasa comrade!Wewe mfungo wa masaa 72 kavu hutoboi
Kujiendekeza tuGuys nipo mkoa fulani sasa mchana nilikula ugali nikaleta zile mbwembwe za Dar za sili usiku zaidi ya matunda tu,
Sielewi nini kimetokea ila njaa inaniuma siwezi kulala na siwezi kutoka kutafuta chakula wala sina mtu ninayemjua nimuagize,
Tumbo linaunguruma, baridi kali kuna vibiscuti wala havitoshi, tumbo lataka chips kuku paja au ndizi choma mishikaki,
Nyie kumbe njaa inauma namna hii๐๐ป
Kujeni basi tupige story, i can't sleep๐ญ
Sahihi mkuu..OMAD ni kifupisho cha One Meal A Day.Mkuu hii OMAD imekaaje , ni afya kufanya hivi lakini pia unakua kwenye viwango imara sana vya kiroho,lazima tujichaji adui hawezi tukamchukulia poa lazima auone upande wapili wa kiroho moto tulionao huwa nafurahi sana kujichaji nguvu za kiroho
Tulia hebu ๐ฉAkili inatumika usiku kufanya nini wakati unatakiwa ulale fofofo?
Njaa ya mchana huwa inanifanya nakuwa na kisirani hatariNoma hii, ila kwenye njaa hata katuni huielewi, njaa isikie hivyo hivyo
Shogaangu una mdomo๐คญSina dhambi za kunipelekesha namna hiyo
Ndio tulichofanya usiku๐Kaeni kwenye kochi ili usingizi ukija tu unaegesha hapo hapo!๐
Njaa haina baunsa๐ ๐Ndio tulichofanya usiku๐
Kabisa mzee!Njaa haina baunsa๐ ๐
Comrade asiejua maana usimwambie maana๐๐Ili upate nini hasa comrade!
Hata mimi siwezi kuvumilia njaa usiku naweza kuamka nikakaanga mayai au kupika tambi ila sasa kuna mazingira uvumilivu ndio the only choice, jana hapana kwa kweli nimeandika hadi kwenye diary halafu sasa kila nikiwapigia watu ninaowajua wanipe kampani ya kuongea kwenye simu wote hawakupokea wamelala, nilitiaje hurumaWe mvumilivu umefika hadi asubuhi Dr.
Mi njaa ya usiku siwezi vumilia hata kidogo, bora mchana naweza nisile siku nzima sio usiku. Akili yangu huwa inatumika sana usiku lazima nile nishibe, huwa nakula hata saa 7 usiku fully meal.
Namba yako ya airtel haipatikaniOne call away ๐๐
WivuuuuuuuuuuuuuEty huu uzi nao utatrend ๐
We wasema, acha yakukuteKujiendekeza tu
Kula usiku ni anasa
Hii ni kweli, mimi nikijiona focus inapotea peni inaanguka baaasi nafunga kila kitu naenda kulaNjaa ya mchana huwa inanifanya nakuwa na kisirani hatari
Kuna siku nitapelekwa mdomo upande๐๐๐Shogaangu una mdomo๐คญ
Watakuroga!๐Kuna siku nitapelekwa mdomo upande๐๐๐
Yote hayo...mi nilijishaua siku moja kumuunga mkono waifu kufungaa kwaresma..wee mbona ilipofika saa tano asubuhi tuu naona wana wa israel..Wewe mfungo wa masaa 72 kavu hutoboi