“Siwezi kumposti Godzilla, sio rafiki yangu, unafki tu” – Christian Bella

Nikweli Bella yupo sahihi.
Lakini tukirudi kwenye ustaarabu wa mTanzania pindi mtu anapo fariki.... tuna muheshimu, hatuyasemi yake mabaya isipokua mema tu, tuna shiriki msiba pamoja na mazishi yake kikamilifu na kadhalika....
Huo ndio uTanzania
 


elimu ndo tatizo, Bella kakosea Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…