Siwezi kumuita mpenzi wangu majina ya kimahaba

Watu tunaitwa mama siku hizi na ni kharaam kumuita mke mama lakini siku hizi utaskia "nambie mama,nini mama,tatizo likowapi hapo mamangu''...... nasisitiza hajarogwa bado.
πŸ˜‚πŸ˜‚ Afinywe vizuri tu
 
Wewe ni manga tu hakuna cha magie..🀣
 
Muhimu hamvunji amani ya nchi n sawa tu........
 
Ngoja wengine wamuite, halafu uje kufuta kamasi hapa jukwaani umelizwa kwa kupigiwa mke wako
 
Maky unaiita kichaga makii
 
Kama mm babe imenishinda huwa namwita mke wangu au mama
Mwanzo aliniuliza Kwanini namwita mama nikamwambia kwani huna mtoto
Huwa nafupisha tu badala ya kukuita mama fulani huwa nafupisha ndiyo inakuwa hiyo mama
 
Hahaha kuna mtu nilibahatika kuona alivyonisave.. kanisave jina, cheo na mahali pa kazi like β€˜Depal mlinzi Suma JKT

Nikamwambia edit, Sijapenda… unanisevuje hivyo sasa?
Edit ilifanikiwa?
 
Mimi nitamuita kimahaba may b kweny texts ila tukiwa wot n ngum San cjui kwnn hat nkijlazimisha nashindwa
 
Watu tunaitwa mama siku hizi na ni kharaam kumuita mke mama lakini siku hizi utaskia "nambie mama,nini mama,tatizo likowapi hapo mamangu''...... nasisitiza hajarogwa bado.

Wewe umemloga huyo anayekuita hivyo?
 
Mimi nyumbani kwangu wote tunaitana majina ya NIDA mpaka watoto wanatuita majina yetu ya NIDA. Kuna mgeni aliwahi kuja wacha aanze kuelezea umuhimu wa watoto kutuita baba au mama ila si ndio walishazoea hivyo na mie naona poa tu
 
Mm wangu siku nikimuita " mpenz" utasikia kicheko alafu naulizwa kimetokea nini leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…