Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh nitakutafutia lingine 🤣Kwahio nikiwa bf wako utanibadili jina?
Na ukimla ukaunga gridi mtoto tunamwita chizi maarifa,wa kike chizi maarifnessUkimla demu kimasihara na akapata mimba, unamuita mwanao rikiboy au rikigirl.
Ukimla demu kimasihara na akapata mimba, unamuita mwanao rikiboy au rikigirl.
Au wale wa Uchagani Mbo.ro?Sie kina MBWAMBO tusemeje sasa??
Baby ShebyKwahio nikiwa bf wako utanibadili jina?
Mungu anakuonaBaby Sheby
Napenda majina ya asili ila ya sound vzur,..wanigeria wenzetu walishtuka hili,hata wa southafrica,hawanaga majina ya kidhunguukimwita mtoto wako mhunzi unaambiwa jina gani hilo la kishamba,,ukibadilisha ukamwita "smith"wanakwambia hilo ndo jina sasa,
Ukoloni mambo leo,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tigo wananidatisha