Siwezi kumuita mwanangu majina haya

ukimwita mtoto wako mhunzi unaambiwa jina gani hilo la kishamba,,ukibadilisha ukamwita "smith"wanakwambia hilo ndo jina sasa,
Ukoloni mambo leo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hilo la Pablo ni la kijanja zaidi kuliko hilo la platinum,,, (Pablo escoba mwamba wa sembe dunia inamtambua huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukimwita mtoto wako mhunzi unaambiwa jina gani hilo la kishamba,,ukibadilisha ukamwita "smith"wanakwambia hilo ndo jina sasa,
Ukoloni mambo leo,

Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda majina ya asili ila ya sound vzur,..wanigeria wenzetu walishtuka hili,hata wa southafrica,hawanaga majina ya kidhungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…