Aah basi utakuwa paulo wewe kama sio Charles (ChalesHahahaha.mim sio muslim
Emu taja mfanoNapenda majina ya asili ila yasound vzur
Hawa watu hatar sana huwa nawacheki sanaMarc MΓ‘rquez
Fabio Quartararo
Valentino Rossi
kama?Napenda majina ya asili ila yawe yanasound vzur
Huyo wa kwanza Dogo 1993 ana mambo Mazito sana...
Ukimla demu kimasihara na akapata mimba, unamuita mwanao rikiboy au rikigirl.
Halafu usikute mtoa mada anaitwa Shabani
Tuambizane mapema I'm planning to call my boys majina haya. Je yana shida gani yoyote?
1. Lorenzo
2. Kendrick
3. Moreeq
πππππUkimla demu kimasihara na akapata mimba, unamuita mwanao rikiboy au rikigirl.