uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 836
- 2,658
Hiyo ndio tofauti ya Kibu Denis Mswahili na Ronaldo mzunguNa kinacho watofautisha ni mafunzo tu.
Kwa sababu hata huyo mbwa wa kizungu inabidi kila baada ya muda flani inabidi uwe unampeleka kwa mwalimu. Na usipofanya hivyo naye anarudi kuwa mbwa koko tu.
Kwahiyo hata ww ukitafuta mbwa koko mzuri akiwa bado mdogo, na ukampa matunzo mazuri na ukampeleka kwa mwalimu wa mafunzo anakuwa kama yule yule wa kizungu. Hata wazungu nao walianza kuwaokota mbwa kama hawa hawa mbwa koko wakawabrand na kuja kutuuzia bei kubwa sana. Hata wauzaji wa mbwa hilo wanalijua.
Duh! Mkuu mbona umekasirika hivyo? Hao Mbwa mbona hawafundishwi kila mara? kuna mahala ukipakosea Mbwa wote wanakuwa hawako sawa. Mimi nafuga hao wa kisasa lakini hawafundishwi kila mara mara moja niliyo wafundisha wako sawa mpaka leo.Na kinacho watofautisha ni mafunzo tu.
Kwa sababu hata huyo mbwa wa kizungu inabidi kila baada ya muda flani inabidi uwe unampeleka kwa mwalimu. Na usipofanya hivyo naye anarudi kuwa mbwa koko tu.
Kwahiyo hata ww ukitafuta mbwa koko mzuri akiwa bado mdogo, na ukampa matunzo mazuri na ukampeleka kwa mwalimu wa mafunzo anakuwa kama yule yule wa kizungu. Hata wazungu nao walianza kuwaokota mbwa kama hawa hawa mbwa koko wakawabrand na kuja kutuuzia bei kubwa sana. Hata wauzaji wa mbwa hilo wanalijua.
Bora na nunua ngombe wa maziwa kwetu ni 2m ana mimba, wanao nunua hizo mbwa ni white lupens malimbukeniNa kinacho watofautisha ni mafunzo tu.
Kwa sababu hata huyo mbwa wa kizungu inabidi kila baada ya muda flani inabidi uwe unampeleka kwa mwalimu. Na usipofanya hivyo naye anarudi kuwa mbwa koko tu.
Kwahiyo hata ww ukitafuta mbwa koko mzuri akiwa bado mdogo, na ukampa matunzo mazuri na ukampeleka kwa mwalimu wa mafunzo anakuwa kama yule yule wa kizungu. Hata wazungu nao walianza kuwaokota mbwa kama hawa hawa mbwa koko wakawabrand na kuja kutuuzia bei kubwa sana. Hata wauzaji wa mbwa hilo wanalijua.
Gentleman,Na kinacho watofautisha ni mafunzo tu.
Kwa sababu hata huyo mbwa wa kizungu inabidi kila baada ya muda flani inabidi uwe unampeleka kwa mwalimu. Na usipofanya hivyo naye anarudi kuwa mbwa koko tu.
Kwahiyo hata ww ukitafuta mbwa koko mzuri akiwa bado mdogo, na ukampa matunzo mazuri na ukampeleka kwa mwalimu wa mafunzo anakuwa kama yule yule wa kizungu. Hata wazungu nao walianza kuwaokota mbwa kama hawa hawa mbwa koko wakawabrand na kuja kutuuzia bei kubwa sana. Hata wauzaji wa mbwa hilo wanalijua.
Sio kila mbwa anafundishika.Mil 3 ununue mbwa? Wakati unaweza kukuta mahali vilikozaliwa vimbwa vingi ukachukua kimoja bure tu ukakifunza. Nenda sehemu waliko wale wawindaji uone walivyo na mbwa wakali
Kuna kitu kinaitwa upofu wa elimuHiyo ndio tofauti ya Kibu debis mswahili na Ronaldo mzungu
Mzungu anafundishika,mswahili utamaliza topic haelewi.
Mbwa haliwi,mbwa inabidi awe smart kukulinda.
Utalindwaje na kilaza
Tunaangalia percentage ya ujinga kwa mzungu na muafricaKuna kitu kinaitwa upofu wa elimu
kwanza afrika hatuna utarabu wa kugundua kipaji cha mtu toka akiwa mdogo. Ila aende akakisomee
Na mwisho wa siku akitumie,
Kusema waafrika hafundishiki ni kumkosea waafrika kwa sababu wapo wazungu wengi sana wajinga wajinga Hata ww unaweza kumfundisha kitu.
Nani kasema mbwa haliwi.........Hiyo ndio tofauti ya Kibu debis mswahili na Ronaldo mzungu
Mzungu anafundishika,mswahili utamaliza topic haelewi.
Mbwa haliwi,mbwa inabidi awe smart kukulinda.
Utalindwaje na kilaza
Mi wangu bikira la maria, nampenda sana mbwa wangumbwa wangu anaitwa kobazi
Na Mumeo aliyekupiga talaka kwa kuchepuka na mtaa mzima anaitwa nani?mbwa wangu anaitwa kobazi
Mbwa wakali je wanafata maelekezo au ndiyo wale Mbwa wakiona Nyama jikoni wanadokoaMil 3 ununue mbwa? Wakati unaweza kukuta mahali vilikozaliwa vimbwa vingi ukachukua kimoja bure tu ukakifunza. Nenda sehemu waliko wale wawindaji uone walivyo na mbwa wakali