uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 836
- 2,658
Na kinachowatofautisha ni mafunzo tu.
Kwa sababu hata huyo mbwa wa kizungu inabidi kila baada ya muda flani inabidi uwe unampeleka kwa mwalimu. Na usipofanya hivyo naye anarudi kuwa mbwa koko tu.
Kwahiyo hata ww ukitafuta mbwa koko mzuri akiwa bado mdogo, na ukampa matunzo mazuri na ukampeleka kwa mwalimu wa mafunzo anakuwa kama yule yule wa kizungu.
Hata wazungu nao walianza kuwaokota mbwa kama hawa hawa mbwa koko wakawabrand na kuja kutuuzia bei kubwa sana. Hata wauzaji wa mbwa hilo wanalijua.