Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
3M kununua mbwa halafu utegemee asikasirike..!! Sema nini, wakati unakandya kununua mbwa kwa 3M, anakuja kukulinda ukiwa na vitu vya shilingi ngapi? Huo uwiano ndo unatia hasira. Nina TV ya 2M, nije ninunulie mbwa wa 3M kuja kuilinda TV ya 2M? Hapo ndo hasira huanziaDuh! Mkuu mbona umekasirika hivyo? Hao Mbwa mbona hawafundishwi kila mara? kuna mahala ukipakosea Mbwa wote wanakuwa hawako sawa. Mimi nafuga hao wa kisasa lakini hawafundishwi kila mara mara moja niliyo wafundisha wako sawa mpaka leo.
Yuko wapi kwasasa huyo rafiki?Tuliwahi kuwa na mbwa mkali na hakupewa mafunzo yoyote lakini alikuwa zaidi ya mbwa wa kisasa Hawa gharama.
Huyu mbwa Kila asubuhi alikuwa anatupeleka shule kipindi hicho tuna amka saa10 alfajiri kwenda shule anatupeleka Hadi tunafika. Ikumbukwe kipindi hicho kulikuwa na mapori wanyama hasa nyegele alikuwa anapambana nao na kuwaua niajabu lakini walikuwa Wana surrender!
Kwenye uwindaji Wala hakuwa anafukufuza wanyama kama digidigi swala nk alikuwa anafata harufu Yao. Na akimkamata kama ni myanyama mdogo anamleta Hadi ulipo. Kama ni mkubwa anakufuata na kukuelekeza alipo wanyama kama pongo Kwa kisukuma alikuwa anawaua mno.
Uko mkoa gani unakouzia hao ngombeBora na nunua ngombe wa maziwa kwetu ni 2m ana mimba, wanao nunua hizo mbwa ni white lupens malimbukeni
Nimetoka kununua mil 5 mmoja kaka...Mil 3 ununue mbwa? Wakati unaweza kukuta mahali vilikozaliwa vimbwa vingi ukachukua kimoja bure tu ukakifunza. Nenda sehemu waliko wale wawindaji uone walivyo na mbwa wakali
Bei ya kilikuu kabisa aiseeNimetoka kununua mil 5 mmoja kaka...
Sio mtaalamu sana kwenye hii field ila uwezo alionao German Shepherd kiakili kabla hata hajafundishwa usipime kabisa... kuna puppy moja hapa kijiweni kashiajua kufungua mlango wa ofisi.. msipolock milango dakika sifuri mnamkuta anawasubiri jikoni kwenye fridge hasa akiwa na njaa au akikosa mtu wa kucheza naye nje.. akikua kidogo sijui itakuaje..Na kinachowatofautisha ni mafunzo tu.
Kwa sababu hata huyo mbwa wa kizungu inabidi kila baada ya muda flani inabidi uwe unampeleka kwa mwalimu. Na usipofanya hivyo naye anarudi kuwa mbwa koko tu.
Kwahiyo hata ww ukitafuta mbwa koko mzuri akiwa bado mdogo, na ukampa matunzo mazuri na ukampeleka kwa mwalimu wa mafunzo anakuwa kama yule yule wa kizungu.
Hata wazungu nao walianza kuwaokota mbwa kama hawa hawa mbwa koko wakawabrand na kuja kutuuzia bei kubwa sana. Hata wauzaji wa mbwa hilo wanalijua.
Sema sisi sio watu wakufuatilia sana ila mtandaoni vipo hadi vitabu ambavyo vinakulekeza lugha za mbwa. na ni namna gani unaweza ukamtengeneza mbwa wako akawa kama ww unavyotaka awe.Sio mtaalamu sana kwenye hii field ila uwezo alionao German Shepherd kiakili kabla hata hajafundishwa usipime kabisa... kuna puppy moja hapa kijiweni kashiajua kufungua mlango wa ofisi.. msipolock milango dakika sifuri mnamkuta anawasubiri jikoni kwenye fridge hasa akiwa na njaa au akikosa mtu wa kucheza naye nje.. akikua kidogo sijui itakuaje..
ila upo right mbwa ni mbwa tu ila wanawafanyia selective breeding
Hayo ni mafunzo tu, ni sawa na ww ni binadamu lakini wakikuambia uluke kwenye ndege kama hivyo hauwezi kwa sababu haujajifunza.Koko hapa ataelewa somo kweli?View attachment 3201867