Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
"Siwezi kuolewa na Mwanaume asiekuwa na Gari" Maneno haya anasema mwanamke ambaye anatumia sabuni ya kuogea mpaka size yake inakuwa kama kipande cha line ya simuðŸ¤
.
.
.
.
Ewe Mwenyezi Mungu wajaalie baraka na bahati wanawake wote ambao hawajaolewa. Aamiyn.
.
.
.
.
Ewe Mwenyezi Mungu wajaalie baraka na bahati wanawake wote ambao hawajaolewa. Aamiyn.