Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Hakuna cha malengo ni kutoelewa tu namna maisha yanavyoenda..Kila mtu na malengo yake sioni kama kuna ubaya kabisa π€
Kila mtu ana vigezo vyake mbona tako ni kitu cha kawaida ila kuna wengine wanalitumia kama kigezo pia?π€Hakuna cha malengo ni kutoelewa tu namna maisha yanavyoenda..
Sasa gari si ni kitu cha kawaida tu..yani ukose mwenzi wako wa maana kisa tu hana gari
Kuna mwanaume ambaye anaoa kwa kigezo cha TaKO kweliii?Kila mtu ana vigezo vyake mbona tako ni kitu cha kawaida ila kuna wengine wanalitumia kama kigezo pia?π€
Mimi siwez kuoa mwanamke flat screen,vip apohiyo ni principal yake wewe je mweka mada huwezi kuolewa na mtu wanamna gani...?
mimi siwezi kuoa mwanamke ambae hana tako kubwa!
Mimi apo ata shekhe kipoozeo alisema,mwanamke awe na mzigo bhanaππππ na karang kidogoKuna mwanaume ambaye anaoa kwa kigezo cha TaKO kweliii?
andika kama mimi tako wanaume hatuogopi, by the way tako usifananishe na flat screen..πMimi siwez kuoa mwanamke flat screen,vip apo
Huyo demu nina wasiwasi kama familia yake iliwahi hata kuwa na punda! Any way! mipango siyo matumizi. Namuombea asije ishia kuwa single mother au lishangazi in the future."Siwezi kuolewa na Mwanaume asiekuwa na Gari" Maneno haya anasema mwanamke ambaye anatumia sabuni ya kuogea mpaka size yake inakuwa kama kipande cha line ya simuπ€View attachment 3157753
.
.
.
.
Ewe Mwenyezi Mungu wajaalie baraka na bahati wanawake wote ambao hawajaolewa. Aamiyn.
Huu uzi umeniliza mno, yaani nashindwa ku imagine jinsi maisha ya huyo binti yatakavyokuwa siku za usoni.πππππ Umbo la mbu la nn sasa,tunaitaji TV ya uchogo bhanaππandika kama mimi tako wanaume hatuogopi, by the way tako usifananishe na flat screen..π
sawaπππππ Umbo la mbu la nn sasa,tunaitaji TV ya uchogo bhanaππ
Mazito kama futari ya magimbi ππHuu uzi umeniliza mno, yaani nashindwa ku imagine jinsi maisha ya huyo binti yatakavyokuwa siku za usoni.