Siwezi kupanga chumba mimi sio mwanamke😬😬

Mmh Hii njemba inarusha Madongo gizani....! Mwanaume Sio Wa Kupanga chumba, Yaani chumba Kimoja... ! Kupanga CHUMBA inamstahili Mwanamke ... Mwanaume anatakiwa AJENGE..!

Busara hizi will kill me...
 
Kabla ya kuona picha nilijua mwanaume unatakiwa ujenge kumbe kualala nnje.....
 
😂😂😂😂😂mvua kiboko yake
 
Huku kwetu ili uitwe kidume Hadi ulale nje,Mara ule ugali na maji wakati mboga zipo ilmrad tafrani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…