Kazini kulanaaaaaa, binamu ruksa kakaNakumbuka alikuwa anasema Neema wa Mitego ni cousin wake sasa kinachofanya apanic Kama amepapaswa tezi jike ni nini?
Ilikuaje akamwacha binti kama huyu???Hiyo ni baada ya jana Ney wa Mitego kupost instagram picha ya Shamsa Ford nakuandika "happy valentine"
Ndipo kupitia ukurasa wake Shamsa akaonyesha Ku panick
Hata hivyo baada ya Shamsa kupost maneno hayo Ney aliitoa ile picha
"Naona mambo yanazidi kuvumishwa kwamba nimerudiana na Nay. Pls pls nina maisha yangu na mwanaume ambae nampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. ..Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi. nilishukuru Mungu watu walishasahau kuhusu mimi na wewe but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki za kijinga. KAZI YANGU NDO INAYONITAMBULISHA. ..PLS TUESHIMIANE" alimalizia Shamsa Ford
Utelezi wa uteteziKwani angekaa kimya tatizo lipo wapi?
huyu jamaa ni jipu, unaweza kuona replies 17 kumbe mpo wanne tuhahaha nimecheka sana,itabid jamaa achunguzwe kila thread anayoanza Ku reply yey
Ulimaanisha lako mkuu? Liweke basi hapa!Mimi nnapicha ya paja lako
Ney hajawah kumshobokea dem baada ya kuachana nae,ila kwa Shamsa naona alinasaWatoto wa kihuni nawaelewa hapo wanawafumua hawa wanaojikuta matawi na celebs alafu wanapotea kisela acha kabisa uyu binti imebidi akubali kua alimegwa haaa haaa
"Wanaume ni walewale miaka rudi miaka nenda, tuliza papuchi ulee watoto we mama"Hiyo ni baada ya jana Ney wa Mitego kupost instagram picha ya Shamsa Ford nakuandika "happy valentine"
Ndipo kupitia ukurasa wake Shamsa akaonyesha Ku panick
Hata hivyo baada ya Shamsa kupost maneno hayo Ney aliitoa ile picha
"Naona mambo yanazidi kuvumishwa kwamba nimerudiana na Nay. Pls pls nina maisha yangu na mwanaume ambae nampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. ..Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi. nilishukuru Mungu watu walishasahau kuhusu mimi na wewe but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki za kijinga. KAZI YANGU NDO INAYONITAMBULISHA. ..PLS TUESHIMIANE" alimalizia Shamsa Ford
Unapenda upaja wake wewee!!!Mwenye picha ya upaja wa huyu Dada tafadhali airushe hapa
wanawake wanaomkubalia nay nao ni fyatu kwakweli Pengine wanampendea huo ufyatu wake maana wanawake wanapenda vitu vya ajabu jamani
Huyu si alisema hana uhusiano na Nay ?