Siwezi kurudiana na Nay wa Mitego - Shamsa Ford

Hiyo ni baada ya jana Ney wa Mitego kupost instagram picha ya Shamsa Ford nakuandika "happy valentine"

Ndipo kupitia ukurasa wake Shamsa akaonyesha Ku panick
Hata hivyo baada ya Shamsa kupost maneno hayo Ney aliitoa ile picha

"Naona mambo yanazidi kuvumishwa kwamba nimerudiana na Nay. Pls pls nina maisha yangu na mwanaume ambae nampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. ..Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi. nilishukuru Mungu watu walishasahau kuhusu mimi na wewe but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki za kijinga. KAZI YANGU NDO INAYONITAMBULISHA. ..PLS TUESHIMIANE" alimalizia Shamsa Ford
a81666deb76b86c6dc656969959e9079.jpg
Ilikuaje akamwacha binti kama huyu???
 
Watoto wa kihuni nawaelewa hapo wanawafumua hawa wanaojikuta matawi na celebs alafu wanapotea kisela acha kabisa uyu binti imebidi akubali kua alimegwa haaa haaa
 
Ney hajawah kumshobokea dem baada ya kuachana nae,ila kwa Shamsa naona alinasa
 
Hiyo ni baada ya jana Ney wa Mitego kupost instagram picha ya Shamsa Ford nakuandika "happy valentine"

Ndipo kupitia ukurasa wake Shamsa akaonyesha Ku panick
Hata hivyo baada ya Shamsa kupost maneno hayo Ney aliitoa ile picha

"Naona mambo yanazidi kuvumishwa kwamba nimerudiana na Nay. Pls pls nina maisha yangu na mwanaume ambae nampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. ..Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi. nilishukuru Mungu watu walishasahau kuhusu mimi na wewe but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki za kijinga. KAZI YANGU NDO INAYONITAMBULISHA. ..PLS TUESHIMIANE" alimalizia Shamsa Ford
a81666deb76b86c6dc656969959e9079.jpg
"Wanaume ni walewale miaka rudi miaka nenda, tuliza papuchi ulee watoto we mama"
 
Anawezaje kumkana kuwa hajawahi kuvuliwa pichu na msela mwenye mpunga wake.
images
 
Back
Top Bottom