Siwezi Kusahau Definition nilizokariri nikiwa form I and II - Science

hahahahahahaah mi naikumbuka hii hadi leo zaodi ya miaka 20 (periodic tebo)

Halo
Hemed
Lile
Beberu
Bora
Chinja
Na
Ondoa
Figo
Nene
Na
Mganga
Akija
Sina
Pesa
Klara
Arudi
Kwao
Canada
 

Hahahaaa..... Hello, Hemedi, Lile, Beberu, Bora, Chinja, Na, Ondoa, Figo, Nene, Na, Mzungu, Aliyeua, Simba, Pale Serengeti, Club, Arudi, Kwao, Canada..!
 

Kuna kitu kilikuwa hivi:
Mama Veronica Egesha Mapaja Juu ya Sanduku Upate Nenepa Paja! Hapo sayari zote 9 unazokichwani!
 
hamisi hemedi lile beberu bora chinha na ondoa figo nene nani mgopgo alieiba mbuzi pale serengeti sijui nini tena
ilikuwa soo.nilikuwa napenda chemisrty balaa.acha tu nikikumbuka sec o level namkumbuka mama sana.alikuwa ananikubali!
 

Hallo Hemedi Lile Beberu Bora Chinja Na Ondoa Figo Nene Nani Mgogo Aliyeiba Simba Pale Serengeti Club Arudishe Kilimanjaro Canteen !
 
Hata mimi umenikumbsha mbali sana kwenye 80's nikiwa form one. Hata hivyo kuna kitu umesema VEIN CALIPAR kama sikosei ni VENIUR CALIPUS inatumika kwa measurements ndogondogo..
Hapana, ni VERNIER CALLIPER. Ni kifaa cha kupimia kilichovumbuliwa na mwanahisabati mfaransa Pierre Vernier (aliishi zamani karne ya 16 huko!)
 
kuna madogo walikuwa na vipaji vya kukariri -- nafikiri ingekuwa nchi zilizoendelea basi wangepewa kusomea kazi maalum. haiwezekani mtu akariri daftari la page 30 kichwani.

Dodo mwingine alikuwa anakariri one day before test / exam usiku mzima, kesho yake asubuhi haendi messin kunywa uji, haogi na wala haongei na mtu kutoruhusu material ku- evaporate.

Bado naulaumu mfumo wa elimu yetu, kutoka kiswahili 100% primary kuja Kingereza 100% secondary hii ni adhabu tosha - these things need to be reviewed kiukweli.

nakumbuka quiz ya kwanza ya kiingeleza nilivyo-join form one tu ilikuwa kuandika tenses aisee aibu, mbaya zaidi teacher wetu wa english primary alikuwa mweupe pee (whitedent) - kweli cha moto nilikiona.
 
Hapana, ni VERNIER CALLIPER. Ni kifaa cha kupimia kilichovumbuliwa na mwanahisabati mfaransa Pierre Vernier (aliishi zamani karne ya 16 huko!)
mkuu lile VERNIER CALLIPER kulikariri kichwani mchoro na parts zake aisee -- na kila paper lazima lilikuwa linatoka.
 
Reactions: SMU
Richard Of York Give Battle In Vain!

SOTOCA || HAH

Manguini mpooo mbona kimya!
 

Ni kuanzia sayari ya Mars hadi Pluto,sisi tulimeza hivi,Mama Veronica Egesha ------ Juu ya Sanduku Upate Nene Pesha.
 
Wewe mtu,umewaza nini leo?
Yaani umenikumbusha mbali sana...

Good news ni kwamba,mwalimu wangu wa Chemistry alinifanya nipende somo lake,hadi sasa nakaribia kugraduate my MD.I miss this teacher,hata sijui yuko wapi siku hizi.
sidhani kama wewe ni wa kizazi hiki anachokiongelea mleta thread!
 
mkuu lile VERNIER CALLIPER kulikariri kichwani mchoro na parts zake aisee -- na kila paper lazima lilikuwa linatoka.
Kwa kweli kuna vitu vingi mwanzoni vilikuwa ni mtihani sana.
 
nakumbuka rafiki yangu alitumia nusu saa nzima akijaribu kusolve tarehe kwa kule kudhahani kuwa ni swali, mwisho akumuuliza msimamizi mbona swali hili halina sawa sawa? akajibiwa tarehe hiyo.
 
Kwa kweli hizo mnemonics zilikuwa zinasaidia sana hasa kama unaelewa the subject matter. Mpaka leo nazikumbuka factors zinazo weza kuathiri the rate of chemical reaction: "PRESLICA COTENA"

PRESsure, LIght, Catalyst, surface Area, Concentration, Orientation, TEmperature, NAture
 
archimedes principle, when the body is wholy or partialy immersed in a fluid, it experiences an upthrust equal to the weight of the fruid it displaces. Hii hata iweje siwezi kuisahau
 
physics is the study of nature in relation to energy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…