ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
nani anakumbuika variegated leaves zilikuwa zinatumika kwenye experimet ya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii ni ile sijui archimedes principal au law of floatation. Mmmh was interesting kabisa. The car starts from rest Acceleration=0
Nimekumbuka: the floating body displaces its own weight ndo law of floatation
ulikuwa form one form two? na mabala the farmer?Yani nakumbuka siku moja nilikuwa napita nje ya shule moja nikasikia wakiuimba aisee nikakumbuka mbali kwani niliuimba siku ya kwanza kuingia sec!
yes mkuu, yaani ukiangalia swali kwenye paper unakumbuka hadi ukurasa kwenye notice. wale walimu waliokuwa wanatoa maswali kwenye notice tuliwadhibu vibaya.Aisee kaka umenikumbusha far away, nakwambia mimi nilikuwa nimemeza daftari zote kiasi kwamba mwalimu akitoa maswali kutoka kwenye daftari basi ni mia! Na nilikuwa nikisahau basi naanza kukumbuka daftari lote!
mkuu hii hatukuimeza nafikiri ilikuwa advanced level - "pressure applied to an enclosed fluid is transmitted undiminished to every portion of the fluid and the walls of the containing vessel"State Paschal's Principle, ukipata nakupa ugolo.
dah kweli mmenichekesha
moning talk nzao unakuwa umekariri kispeech chako
ukimaliza tu ile gmoning my fellow student ,evaporation inatake place unabaki kusema today i want to speak about chemistry ! kumbe ulikariri desa lingine
Hii law of floatation ina apply when the body is partially immersed. Hizi hesabu kuna wakati nilikuwa nikizifanya mpaka napata orgasm. Zilikuwa TAMU sana...
Yani nakumbuka siku moja nilikuwa napita nje ya shule moja nikasikia wakiuimba aisee nikakumbuka mbali kwani niliuimba siku ya kwanza kuingia sec!
Ule wimbo we2, bwana shamba had a farmer iya iyayo.....
hamisi hemedi lile beberu bora chinha na ondoa figo nene nani mgopgo alieiba mbuzi pale serengeti sijui nini tena
ilikuwa soo.nilikuwa napenda chemisrty balaa.acha tu nikikumbuka sec o level namkumbuka mama sana.alikuwa ananikubali!
ahaaa kuna siku bwana kulikuwa na mashindano ya umisenta sijui nilikuwaga mie nashiriki maarifa nadhani sasa ilikuwa mashundanio wilayani kuna maswali ya majani hayo unakumbuka monocotiledon na daikotiledon wewe.bwana nikaabahatisha nikaenda mkoani...ahaaaa hii thread bwana!nani anakumbuika variegated leaves zilikuwa zinatumika kwenye experimet ya nini?
dah atanikubali vipi na amefariki bwana?Siku izi amepunguza kukukubali au??!
Ila o level madem wengi walikua gud in sciences jinsi walivyoendelea wakawa wanaloose interest cjui kwann...
Wakuu,
Wengi mtakumbuka ukifika form one unakutana na kiingeleza masomo yote, wakati ule shule zote zilikuwa kayumba format, kwa hiyo tulipata tabu sana hasa tuliochomokea vijijini kujua lugha kwa haraka. wengi pamoja na mimi tuliamua kukariri notice za ticha walau usipate sifuri -- sasa mambo niliyoshika miaka ile ya 90 hadi leo hayatoki. nakukumbusha tu machache kama haya kwenye Kemia na Fizikia form one na Two.
-----------------------------
Matter is anything which can occupy space and has got weight and volume
Three states of Matter - Solid, Liquid and Gas
Chemical change - new substance is formed; change in weight; not reversed to original state:
Physical change - no new substance is formed; no change in weight; can be reversed to original state:
Charles Law Pressure constant
Boyles Law Temperature constant
Everybody continues in its state of rest until external force applied to it - 1[SUP]nd[/SUP] law of Motion
The rate of change of momentum is proportional to the imposed force and goes
in the direction of the force - 2nd law of Motion F=MA (hii tulipenda sana kuitamka tulikuwa na maana yetu) ha ha ha
Action and reaction are equal and opposite Third Low of motion - 3rd low of Motion
Posocamazilc Potassium, Sodium, Calcium, Magnesium, Zink, Iron Lead, Hydrogen and Copper Metal reaction series
(Popular Scientific Can Make a Zuu In Law Level Humidity Country
Hydrogen pop sound Lab Test
Common apparatus in the Lab Bunsen banner, Vein Caliper, test tube n.k
Hizi ulikuwa hata ukiamshwa usiku wa manane lazima ziwe kichwani - tulipofika form three ndiyo tukaanza kuelewa - ile kazi ya kuzishika hizi ilikuwa pevu.
ni kumbukumbu tu wakuu wangu -- watu walikuwa na uwezo wa ku-cream daftari zima - unahamisha hadi nucta. ha ha ha
"Everybody continues in its state of rest until external force applied to it - 1[SUP]nd[/SUP] law of Motion"teh teh teh...mtu anayekaa amejibweteka akisubiri miujiza lazima ile kwake....Just how applicable some of those laws are...
Smile hiyo itakuwa ni UMISHUMTA! UMISETA ni kwa shule za sekondari....sikumbuki kama kulikuwa na mashindano ya namna hiyo. Those days!ahaaa kuna siku bwana kulikuwa na mashindano ya umisenta sijui nilikuwaga mie nashiriki maarifa nadhani sasa ilikuwa mashundanio wilayani kuna maswali ya majani hayo unakumbuka monocotiledon na daikotiledon wewe.bwana nikaabahatisha nikaenda mkoani...ahaaaa hii thread bwana!
yalikuwepo mkuu,kwa primary ,apart fro michezo kulikuwa na masomo.hesabu,maarifa na sanaa na english nadhani...uliza thanks kwa kunikumbusha ni umishumtaSmile hiyo itakuwa ni UMISHUMTA! UMISETA ni kwa shule za sekondari....sikumbuki kama kulikuwa na mashindano ya namna hiyo. Those days!
ahaaa kuna siku bwana kulikuwa na mashindano ya umisenta sijui nilikuwaga mie nashiriki maarifa nadhani sasa ilikuwa mashundanio wilayani kuna maswali ya majani hayo unakumbuka monocotiledon na daikotiledon wewe.bwana nikaabahatisha nikaenda mkoani...ahaaaa hii thread bwana!
Ni kweli kwa primary yalikuwepo (nilimaanisha kuwa kwa sekondari(UMISETA), sikumbuki kama yalikuwepo). Lakini inaleta raha sana kukumbuka siku hizo...nakumbuka marafiki wa kipindi hicho..wengine tumepotezana!yalikuwepo mkuu,kwa primary ,apart fro michezo kulikuwa na masomo.hesabu,maarifa na sanaa na english nadhani...uliza thanks kwa kunikumbusha ni umishumta