JambaziSugu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 245
- 210
density-is mass per unit volume
bookkeeping-is the art of recording financial transactions in a set of books in terms of money or moneyworth
geography is he study of man and his sorroundings
lugha-ni mfumo wa sauti za nasibu zilizopangiliwa ili kuleta maana katika jamii
888hiyo ya book keeping niliimezaga kwa mbinde sana,sitasahau
mkuu lile VERNIER CALLIPER kulikariri kichwani mchoro na parts zake aisee -- na kila paper lazima lilikuwa linatoka.
Sio "kila mtu," bali ni "kila kitu."Siwezi Kusahau Definition nilizokariri
Everybody continues in its state of rest until external force applied to it - 1[SUP]nd[/SUP] law of Motion
"Matter can occupy space and has volume" ni marudiorudio. Kwa sababu volume maana yake ni nafasi inayochukuliwa na matter kwa dimensions zake. Kitu hakiwezi kuchukua nafasi kama hakina volume. Sijui unanielewa??? Mbatia aliwaambia serikali bungeni kwamba huwezi kusema "Mtaala wa Advanced Level Mathematics kwa Shule za Advanced Level"!Matter is anything which can occupy space and has got weight and volume
Si kweli.Chemical change - new substance is formed; change in weight; not reversed to original state:
Hizi sio definitions, ni masharti ya applicability ya sheria hizo.Three states of Matter - Solid, Liquid and Gas
Charles Law – Pressure constant
Boyles Law – Temperature constant
Hakuna kitu kama Third Low of MotionAction and reaction are equal and opposite – Third Low of motion - 3rd low of Motion
Hydrogen pop sound - Lab Test ndio definition ya kitu gani jamani?Hydrogen pop sound Lab Test
Sio Bunsen Banner. Sema "Bunsen Burner," kazi yake inahusiana na kuunguza, ku "burn." Tukijaribu kuelewa tunachokariri itasaidia kutojaza vichwani mavitu ambayo haya make sense.Common apparatus in the Lab – Bunsen banner
Huo nao ni udhihirisho mwingine wa jinsi tulivyonyimwa elimu, hatukujengewa inquisitive minds, mtu anabandika hadharani ma definition kumi ya kidato cha kwanza, ya uongo, halafu anae ya question na kuyapinga haonyeshwi yeye kakosea wapi, anaambiwa "we mtata"!Anheuser we mtata... I bet ulisoma
Anheuser we mtata... I bet ulisoma masomo ya sayansi sekondari halafu ukaenda kufanya political science chuo.
Hii ni Archmedes PrincipleIf a body is fully or partially immersed in a fluid, it displaces its own weight of the fluid.
Wakuu,
Wengi mtakumbuka ukifika form one unakutana na kiingeleza masomo yote, wakati ule shule zote zilikuwa kayumba format, kwa hiyo tulipata tabu sana hasa tuliochomokea vijijini kujua lugha kwa haraka. wengi pamoja na mimi tuliamua kukariri notice za ticha.....unahamisha hadi nucta. ha ha ha
Huo nao ni udhihirisho mwingine wa jinsi tulivyonyimwa elimu, hatukujengewa inquisitive minds, mtu anabandika hadharani ma definition kumi ya kidato cha kwanza, ya uongo, halafu anae ya question na kuyapinga haonyeshwi yeye kakosea wapi, anaambiwa "we mtata"!
Dr. Slaa amesema jana, akitetea hoja za kina Mbatia, kwamba alikuwa anakagua daftari la mwanae jana yake, akakuta wamechoreshwa mwili wa mtu na zehemu zake za ndani, maini yako kifuani. Akasema "ini za Mtanzania ziko kifuani"! Ndo tukaomba jamani eeh, tunaomba mitaala ya elimu. Siri! Jamani, watoto wanafundishwa nini mashuleni? Siri! Kila kitu siri!
Kilio chetu wananchi bado kiko pale pale, na zaidi. Tunadai haki ya kuonyeshwa mitaala inayotumika kwenye vyuo vya ualimu! Tumenyimwa elimu muda mrefu.
yeah mkuu, wakati huo kulikuwa na shule 2 tu za ufundi za kitaifa: Moshi Technical na Ifunda. na vyuo vilikuwa vitatu tu - Dar Tech, Arusha Tech na Mbeya Tech. kwa hiyo mkimaliza form four kwa mfano moshi Tech basi darasa zima mnajikuta mpo Dar Tech. Wakati huo nchi ilikuwa na mkakati wa kupata mafundi kwa ajiri ya viwanda vyetu, nafikiri ilikuwa ndoto ya Mwalimu. sasa hivi shule hizi zipo hoi bin taaban.Nyie mmesoma Technical school nin?maana neno Mesini nalikumbuka tulikuwa twatumia Technical,draw Vernier Calliper n its part!mh