Siwezi Kusahau Definition nilizokariri nikiwa form I and II - Science

Siwezi Kusahau Definition nilizokariri nikiwa form I and II - Science

Mimi nakumbuka mby day kuna mama alikuwa anaitwa mnzava alikuwa anafundisha maths,siku ya kwanza anaingia klass akaja na mkwala wa kutoa homwek ya wiki nzima eti kujumlisha kuanzia namba 1 mpk 1000 i.e 1+2+3+....1000.tulihangaika weeee lakini wapi,kufika form3 ndo tukajagundua ni arithmetic progression/AP, yule mama sitakuja msahau yan.haa haaa it remind me of thoz dayz
 
yeah mkuu, wakati huo kulikuwa na shule 2 tu za ufundi za kitaifa: Moshi Technical na Ifunda. na vyuo vilikuwa vitatu tu - Dar Tech, Arusha Tech na Mbeya Tech. kwa hiyo mkimaliza form four kwa mfano moshi Tech basi darasa zima mnajikuta mpo Dar Tech. Wakati huo nchi ilikuwa na mkakati wa kupata mafundi kwa ajiri ya viwanda vyetu, nafikiri ilikuwa ndoto ya Mwalimu. sasa hivi shule hizi zipo hoi bin taaban.

pamoja sana mkuu hata mie nimesoma Moshi Technical, bt nilikimbia ufundi nikaenda Advance PCM, then nikaenda Engineering. one thing naweza kukuambia Moshi Technical imekuwa sehemu muhimu sana katika maisha yangu, huwez nidanganya kitu chochote cha kiufundi, maana ile mambo ya form one kusoma maufundi yote ile...mh inasaidia sana kuwa na idea....halafu UDSM napo miaka hiyo ukiingia Engineering lazima usome maufundi almost yote...sijui kama siku hizi bado wanafanya hivo...
 
ufundi unasaidia sana usichakachuliwe, kuna siku nikawa nimepeleka kigari changu garage, belt ya engine ilivyatuka, nikanunua belt nyingine sasa wakati wa kufunga nikawa pale nacheki, yule fundi akanitania wewe hata uangalie huwezi elewa kitu -- sasa kumhakikishia mimi si kilaza nikaanza kushuka nondo zangu za Automechanics (somo la unga); wale madogo wakaanza kuelewa timing ni nini na inaathiri vipi mapigo hayo manne ya engine. kwa muda nikawa mwalimu, madogo wakanikubali. sasa hivi nikienda kufanya service wananiita Karibu Fundi ---- interesting....
 
Kuna mtu shuleni kwetu, tena shule ya mission, ali copy mathematical table namba kwa namba kisha akaimeza(akaiweka kichwani)!!!
 
Back
Top Bottom