Siwezi kuwapigia makofi mashujaa FC kwa ushindi wao wa mchongo ulioaandaliwa na lazima wapande ligi kuu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
TFF na Bodi ya ligi sijui masuaala ya Michezo Kama hii huwa mnayabariki??

Mbeya City walinyongwa hadharani marefa walikua upande wa mashujaa (hakuna haki kwa Mbeya City)

Hakuna offside lakini kibendela kinanyanyuka.

Kuna kipindi Mbeya City walishituka kuwa kila wakisogea kwenye box la mashujaa lazima iwe offside hata Kama siyo offside na wakaanza kupiga mashuti nje ya box.

Kosa siyo kosa lakini Mbeya City wanaadhibiwa Ila kwa mashujaa hakuna kitu (mama nibebe)

Wachambuzi wengi wamefumba midomo kwa kua hii ni Mbeya City lakini matukio Kama haya yangetokea kwenye timu za kariakoo (Simba na Yanga) hakika zingepigwa kelele mwezi mzima.

Kwa hili NALIA NGWENA siwezi kupiga makofi na kuwapongeza Mashujaa kwa janja janja zilizowafanya wapande ligi kuu.

Screenshot_20230625-074340.jpg
 
Mi naona marefa wamefanya jambo la maana sana kuisukumizia mbeya site kule nje na kuibeba mashujaa kama yai... Waende wakajipange upya. Timu haikuwa serious kabisa! Misimu karibia mitatu wananusurika playoff...
 
Serikali ijitoe kwenye kumiliki haya Matimu
 
TFF na Bodi ya ligi sijui masuaala ya Michezo Kama hii huwa mnayabariki??

Mbeya City walinyongwa hadharani marefa walikua upande wa mashujaa (hakuna haki kwa Mbeya City)

Hakuna offside lakini kibendela kinanyanyuka.

Kuna kipindi Mbeya City walishituka kuwa kila wakisogea kwenye box la mashujaa lazima iwe offside hata Kama siyo offside na wakaanza kupiga mashuti nje ya box.

Kosa siyo kosa lakini Mbeya City wanaadhibiwa Ila kwa mashujaa hakuna kitu (mama nibebe)

Wachambuzi wengi wamefumba midomo kwa kua hii ni Mbeya City lakini matukio Kama haya yangetokea kwenye timu za kariakoo (Simba na Yanga) hakika zingepigwa kelele mwezi mzima.

Kwa hili NALIA NGWENA siwezi kupiga makofi na kuwapongeza Mashujaa kwa janja janja zilizowafanya wapande ligi kuu.View attachment 2668228
Kama NDIO hivyo watarudi walikotoka yetu macho
 
Mbeya city ni timu ya hovyo 🥹mechi ya utopolo unaongoza 3 halafu zinarudi zote bora walivyopanda mashujaa fc
 
Mbeya city wamezoea kila msim wanapambania playoffs wacha washuke
 
Mi naona marefa wamefanya jambo la maana sana kuisukumizia mbeya site kule nje na kuibeba mashujaa kama yai... Waende wakajipange upya. Timu haikuwa serious kabisa! Misimu karibia mitatu wananusurika playoff...
Timu inatangulia mbele bao tatu inashindwa kulinda ndani ya dk 20 na wanajua wapo kwenye hatari ya kushuka daraja,washuke tu mammae zao..!
 
Inawezekana uko sahihi.ila timu ikishuka ishuke hakuna haja ya playoffs ni kuzionea timu zinazopanda.iondoke tu
 
Kama walibebwa, basi msimu ujao watarudi walikotoka. Maana Ligi Kuu haina mbambamba.
Mi hata huu utaratibu wa play off, nauona haufai kabisa. Kwenye ligi daraja la kwanza, Pamba ya Mwanza, ilishika nafasi ya tatu, ikiwa na pointi 59. Na Mashujaa walikuwa ni wa nne kwa pointi 49. Sasa timu imejitahidi sana kwenye michezo yake, na kupata pointi nyingi, baadaye unakuja kumpambanisha na aliyemzidi mbali, bahati mbaya akashindwa, (tunaona timu inaongoza ligi, lakini inafungwa na timu inayotelemka daraja),matokeo yake inakwama, hiyo iliyozidiwa kwenye michezo ya kawaida, anapanda juu. Kwa kweli inakatisha tamaa. Utaratibu wa zamani, ilikuwa zinazopanda, zinapanda moja kwa moja, kwa idadi ile ile ya timu zinazoshuka!
 
TFF na Bodi ya ligi sijui masuaala ya Michezo Kama hii huwa mnayabariki??

Mbeya City walinyongwa hadharani marefa walikua upande wa mashujaa (hakuna haki kwa Mbeya City)

Hakuna offside lakini kibendela kinanyanyuka.

Kuna kipindi Mbeya City walishituka kuwa kila wakisogea kwenye box la mashujaa lazima iwe offside hata Kama siyo offside na wakaanza kupiga mashuti nje ya box.

Kosa siyo kosa lakini Mbeya City wanaadhibiwa Ila kwa mashujaa hakuna kitu (mama nibebe)

Wachambuzi wengi wamefumba midomo kwa kua hii ni Mbeya City lakini matukio Kama haya yangetokea kwenye timu za kariakoo (Simba na Yanga) hakika zingepigwa kelele mwezi mzima.

Kwa hili NALIA NGWENA siwezi kupiga makofi na kuwapongeza Mashujaa kwa janja janja zilizowafanya wapande ligi kuu.

View attachment 2668228
Kama wamehonga ili wapande daraja basi watajuta.
 
Back
Top Bottom