Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,178
- 3,865
"""Maeneo ambayo watu wanaishi kwa milo mitatu tu kwa siku kutokana na umaskini.""""
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu,wenye vipato vyenu mnakula milo mingapi kwa siku?
Mkuu,wenye vipato vyenu mnakula milo mingapi kwa siku?
😅😅nadhan kawaida ni milo mi5!Mkuu,wenye vipato vyenu mnakula milo mingapi kwa siku?
Sijui zina majina yake...!lolDu! [emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa mkuu,tutakuwa tunafidia na matunda ya msimu!Kula hakuna idadi ndugu yangu.mimi binafsi nakula na kunywa zaidi ya mara 5 kwa siku. Kuna kipindi napata matunda tu,kuna kipindi nakunywa maziwa, kuna kipindi nakunywa juice,kuna kipindi napata snacks na soft drinks... Kiufupi tumbo halipaswi kuwa empty.la msingi ni kula mlo kamili.na pia nafanya mazoezi.umaskini ndo unaaminisha mtu anapaswa ale mara tatu kwa siku.ukweli ni muwa mtu anapaswa ale vyakula mbalimbali kila mara pasipo kujaza sana tumbo.kidogo kidogo.
Aisee[emoji23]Wanakula muda wote [emoji3][emoji3]
Huyu jamaa usikute yupo huko kilimanjaro - ndanindani machame machame, anapata mbege ya kugongea .
Usikute na 10 hana mfukoni,
Haya maisha ukisoma thread zake unaweza mlaumu Mungu kwamba
Sir God but why!?
But ukiwa na akili kubwa utajua ni muuni mmoja wa tandale kwa mtogole
Kula hakuna idadi ndugu yangu.mimi binafsi nakula na kunywa zaidi ya mara 5 kwa siku. Kuna kipindi napata matunda tu,kuna kipindi nakunywa maziwa, kuna kipindi nakunywa juice,kuna kipindi napata snacks na soft drinks... Kiufupi tumbo halipaswi kuwa empty.la msingi ni kula mlo kamili.na pia nafanya mazoezi.umaskini ndo unaaminisha mtu anapaswa ale mara tatu kwa siku.ukweli ni muwa mtu anapaswa ale vyakula mbalimbali kila mara pasipo kujaza sana tumbo.kidogo kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]