Siwezi kuwatenga. Nakuja tufanye tour ya kibabe Dar tukitumia "magari" na nyie ndugu zangu

Kula hakuna idadi ndugu yangu.mimi binafsi nakula na kunywa zaidi ya mara 5 kwa siku. Kuna kipindi napata matunda tu,kuna kipindi nakunywa maziwa, kuna kipindi nakunywa juice,kuna kipindi napata snacks na soft drinks... Kiufupi tumbo halipaswi kuwa empty.la msingi ni kula mlo kamili.na pia nafanya mazoezi.umaskini ndo unaaminisha mtu anapaswa ale mara tatu kwa siku.ukweli ni muwa mtu anapaswa ale vyakula mbalimbali kila mara pasipo kujaza sana tumbo.kidogo kidogo.

Mkuu,wenye vipato vyenu mnakula milo mingapi kwa siku?
 
Hadithi zako ziweke kwa njia ya kitabu au soft copy hutokosa pesa ya kuhonga Mr.Misifa Kiduku lilo.
 
Kula hakuna idadi ndugu yangu.mimi binafsi nakula na kunywa zaidi ya mara 5 kwa siku. Kuna kipindi napata matunda tu,kuna kipindi nakunywa maziwa, kuna kipindi nakunywa juice,kuna kipindi napata snacks na soft drinks... Kiufupi tumbo halipaswi kuwa empty.la msingi ni kula mlo kamili.na pia nafanya mazoezi.umaskini ndo unaaminisha mtu anapaswa ale mara tatu kwa siku.ukweli ni muwa mtu anapaswa ale vyakula mbalimbali kila mara pasipo kujaza sana tumbo.kidogo kidogo.
Sawa mkuu,tutakuwa tunafidia na matunda ya msimu!
 
Huyu jamaa usikute yupo huko kilimanjaro - ndanindani machame machame, anapata mbege ya kugongea .
Usikute na 10 hana mfukoni,
Haya maisha ukisoma thread zake unaweza mlaumu Mungu kwamba
Sir God but why!?
But ukiwa na akili kubwa utajua ni muuni mmoja wa tandale kwa mtogole
 
Mbali ya hizo assumptions..kuna watu wanaishi hya maisha mkuu bongo hapa hapa!
 
Kula hakuna idadi ndugu yangu.mimi binafsi nakula na kunywa zaidi ya mara 5 kwa siku. Kuna kipindi napata matunda tu,kuna kipindi nakunywa maziwa, kuna kipindi nakunywa juice,kuna kipindi napata snacks na soft drinks... Kiufupi tumbo halipaswi kuwa empty.la msingi ni kula mlo kamili.na pia nafanya mazoezi.umaskini ndo unaaminisha mtu anapaswa ale mara tatu kwa siku.ukweli ni muwa mtu anapaswa ale vyakula mbalimbali kila mara pasipo kujaza sana tumbo.kidogo kidogo.

Unafanya biashara za miwa eehh??
Au unapenda sana kula miwa
 
Back
Top Bottom