Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #21
Not realistic ............
Wait until the end of msiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not realistic ............
That was cool
Jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anaswali GHAFLA simu ikaita akaingiza mkono ili aikate, kwa bahat mbaya akaminya cha kupokelea, alipohangaika kuzima akajikuta kaminya laudspika ikasikika sauti 'ETI HONEY UMESEMA NIWEKE KITIMOTO KIASI GANI? 😄😄😄🙆🙆🙆🙆
Hiyo kali
Jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anaswali GHAFLA simu ikaita akaingiza mkono ili aikate, kwa bahat mbaya akaminya cha kupokelea, alipohangaika kuzima akajikuta kaminya laudspika ikasikika sauti 'ETI HONEY UMESEMA NIWEKE KITIMOTO KIASI GANI? 
hahahahahJamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anaswali GHAFLA simu ikaita akaingiza mkono ili aikate, kwa bahat mbaya akaminya cha kupokelea, alipohangaika kuzima akajikuta kaminya laudspika ikasikika sauti 'ETI HONEY UMESEMA NIWEKE KITIMOTO KIASI GANI? 😄😄😄🙆🙆🙆🙆
Ndo nini?hahahahah
utapat hat negaDuh sipat picha ilikuaje
Mkuu hicho siyo kisasi ila ni somo japo ni lakusadikika maana mke anaona mama wa Mme wake si kituMwanaume unalipiza kisasi cha kitoto